dosama
JF-Expert Member
- Dec 25, 2010
- 912
- 957
Hii TV ya chama vp jamani mbona hawatangani angalau vituoni kura zimepigwaje iweje ITV iweze wao washindwe na wanatumia kodi zetu. Kirumba, Songea, Kiwira wamekula mweleka au ndo sababu. Tungojee kesho magazeti yao UHURU, JAMBO LEO na HABARI LEO YATAKAVYOANDIKA