Kwanini tanesco malipo yafanyike dirishani??

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
leo nilikua tanesco nikajiliza inakuaje Tanesco sehemu ambayo kunamakusanyo mengi sana ya hela malipo yafanyike dirishani na sio bank??'nikua kwenye daladala kipindi cha power breakfast cha clouds wakiponda uongozi wa bandari malipo kufanyika dirishani badala ya bank.sasa sijui ni siasa au ni msukumo wa watu flani mpaka hilo suala likajadiliwa au ni kwamba hao jamà wa clouds hizi habari wao hawana.tuache siasa katika kukemea maovu yanayofanywa na hawa mabaradhuli sisiemu.kwanini malipo yasifanyike bank??au hiyo tanesco ni kampuni ya mtu binafi au ndio wanapata unafuu wa kuiba ?kweli ndio màna kilasiku shirika halîshi kulalaml hasara.kweli bongo sana kila kona.
 
hao ndo viongozi wetu bana...watu wanaenda na sayansi na tecknology wao bado wapo karne ya pili cjui...sasa mfano swala la luku kununua dirishani,wamefikiri nini mpaka kuturudisha huku?
 
Nadhani wameandaa mpango maalum wa kubaini meta za luku za magumashi zinazowaibia umeme.
 
Back
Top Bottom