Kwanini tabia hii ni kwa wanaume tu?

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
Asilimia nyingi za wanaume wa jamii yetu hawawezi kuwasiliana au kumsaidi mtu wa jinsia tofauti bila kumtongoza,na kwanini tabia hii ipo kwa wavulana tu?na kwa nini ipo ivi?
 
asilimia nyingi za wanaume wa jamii yetu hawawezi kuwasiliana au kumsaidi mtu wa jinsia tofauti bila kumtongoza,na kwanini tabia hii ipo kwa wavulana tu?na kwa nini ipo ivi?

utafiti wako umeufanyia wapi?
 
Back
Top Bottom