Kwanini Sophia Simba madaraka hayo yote na Kiingereza tatizo?

Sophia Simba alikuwa ni mke waa ndoa wa Kitwana Kondo. Na Kitwana Kondo ni miongoni mwa wapigania uhuru wa nchi hii wa zamani sana. Wakati wewe babu yako anachezea kahawa kwenu Tukunyema huko, Kitwana Kondo alikuwa anapanga mikakati ya kumuondoa Edward Twinning.

jamani mbona nilisika kuwa SS ni mke wa aliyekuwa mwenyekiti wa club ya mpira Simba??
 
Kijana mbona unahoji sana? Mkono mtupu haulabwiiiiiiiii. Ki ukweli mtu mmoja anapewa vyeo kibao kana kwamba tz hakuna wanaofaa kuongozo hizo nafasi!!!!!hii ndo ccm bwana.ndo mana wezetu kenya upuuzi huo hakuna na ubunge kwa sasa hawi waziri wala katibu kata.
 

Hongera kwa kujifunza msamiati mpya, "imbecile" unataka nikwambie ulipoliona neno hilo kwa mara ya kwanza? Na aliyeliandika nilikuwa naye wakati akiliandika na nilimuahidi kwamba ndani ya siku 3 litatumiwa kwa mara ya pili kwenye jukwaa hili.
Twat,
lingine hilo nenda kaangalie kwenye "dikthionario"
 
Madaraka ya Sohia Simba

1. Mwenyekiti wa CCM - Umoja Wa Wanawake - UWT
2. Mbunge wa Kuteuliwa-- UWT
3. Mbunge wa Kuteuliwa-- SADC
4. Waziri wa Ustawi Wa Jamii, Jinsia na Watoto
5. Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM na Central Comittee

4. Hiyo Wizara ni Kubwa haswa majungu Mengi na inahitaji a full time attendant
2 and 3 huo ubunge atawezaje kujigawa na kuhudhuria na kutetea haki kote? kwanini asiache mtu mwingine?
5. Hii inahitaji full time participation

Kwenye CCM kuna Wanawake Wengi na Wasomi kweli Mtu Mmoja Madaraka Manne na Yote Muhimu ni ulafi wa Madaraka na lugha za watu zinatusha

Vipi kuhusu Mishahara? She's becoming very powerful najua alijuwa Spika Mwanamke mapema haswa

Naomba ubadilishe headings, iendane na habari yenyewe.
 
Mnaposema English haipandi kwa Sophia Simba hiyo degree ya sheria alipatapataje? Sheria nijuavyo mimi hufundishwa kwa lugha ya kiingereza pale mlimani!!
 
Si lazima SS ajue kiingereza ili kuweza kufanya kazi yake vizuri. Lakini hapo wadau si bure, mtu mmoja vvyeo vyote hivyo? duh! Hapo ndo JK sijui kalishwa dude gani!
 
Mama SS aliwahi kulazwa hospitali wakati Naibu wake SM kupata ajali kwani ndio alikuwa Trekta lake...!!! Sijui kama Mzanzibar ataweza kum-back-up? Mwilima naye sijui ilikuwaje? alimchakachua...
 
Acha kumsakama Simba, huyo Kikwete mwenyewe kiingereza chake kama mwanafunzi wa darasa la 3, nakumbuka tukiwa nae Massachusetts na Governor Romney 2007, alisumbuka kujieleza sana ikabdi Danny awe anaongea kwa niaba yake.
 
Mnaposema English haipandi kwa Sophia Simba hiyo degree ya sheria alipatapataje? Sheria nijuavyo mimi hufundishwa kwa lugha ya kiingereza pale mlimani!!

Degree zinanunuliwa ndugu!!! Huyu mama nimeshamsikia kwa masikio yangu tena live bila chenga. Akiongea kiingereza utabaki unajiuliza alipatajepataje hiyo degree???? ni upupupu mtupu.
Kinachomweka madarakani ni 'utaalam' wake kwenye upande wa pili wa shilingi. Kwa wale waliobahatika kumwona, wanasema she is good and expert.
 
Degree zinanunuliwa ndugu!!! Huyu mama nimeshamsikia kwa masikio yangu tena live bila chenga. Akiongea kiingereza utabaki unajiuliza alipatajepataje hiyo degree???? ni upupupu mtupu.
Kinachomweka madarakani ni 'utaalam' wake kwenye upande wa pili wa shilingi. Kwa wale waliobahatika kumwona, wanasema she is good and expert.

...hakika kaka...body language ni kilele!
This is a tradition while in power maana Mobutu, Dennis Sassou, Laurent Kabila, Omar Bongo and the like used mawaziri wanawake kuwa
:A S-heart-2: :A S kiss: :bathbaby:
 
sophia simba alikuwa ni mke waa ndoa wa kitwana kondo. Na kitwana kondo ni miongoni mwa wapigania uhuru wa nchi hii wa zamani sana. Wakati wewe babu yako anachezea kahawa kwenu tukunyema huko, kitwana kondo alikuwa anapanga mikakati ya kumuondoa edward twinning.

kwahiyo?
Maisha binafsi ya kk na ss yanatuhusu nini?
Siyoni uhusiano unaotaka kuujenga baina ya kk kupigania uhuru, na vyeo vya ss.
 
Back
Top Bottom