Kwanini siwapendi?

Dada Tina umesahau hii moja;

.Wakinitaka kimapenzi ''huwaga nawakubalia''!
 
Hivi Tina tuseme hunipendi kwa kuwa sina mikono? Kwanza nadhani mimi nitakufaa kwa kuwa sitaweza kukupiga. Mimi ni mpole sana na tabia yangu ni njema na vile vile ni hensam.

Nikubali mimi tu, mimi peke yangu kukuoa!
 
Mdogo wangu simamia hapo hapo, hawa majamaa yana maneno mazuri kama malaika, Tirna mdogo wangu najua wameshakuonja na wewe wajua wakakutosa na sasa hautaki kurudia makosa, take care, ukikubari kusikia mashairi yao 1 minute umekwisha
 
Nadhani aliyoyatoa sister Tina yanawawakilisha watu wengi tofauti tofauti. Labda ni utenzi fulani hivi.:)

KILA KITU KINA MAHALI PAKE NDUGU...

UFISADI NA FORUM YA MAHUSIANO, MAPENZI, URAFIKI NI WAPI KWA WAPI! UMEKOSEA NJIA, NDUGU!
Tanzani 1 pamoia na mambo mengi kuzungumzia hata hay ya Tina ni mambo ya kujadili kama kwako hayana umhimu kwa wenzio yana umhimu uhuru wa mawazo ni muhimu
 
hivi ina maana bado tu Tina wanakusumbua au hujapata mtu angalia dada angu umeshakua utakaa home till when?
 
  • Wananipenda wakati nikiwa mzima nikiugua kidogo huanza kutoweka.
  • Wananipendea uzuri wa sura na sauti yangu hawajui naweza kupata ajali nikapoteza reception hiyo na sauti ikawa ya kukoroma.
  • Wanaangalia bambataa langu hawajui mwenyewe naona kero kwa kugeukiwa kila mara (wataweza kuvumilia nikitembea nao barabarani nikiangaliwa na wenzao?)
  • Wanapenda waonje bila harusi, hawajui kuwa sina muda mchafu huo tena.
  • Wanakuja kwa gia ya kudai bila mimi maisha hayaendi japo nimekutana nao wakiwa wanaishi vema tu.
  • Wanadai mi mpole na mkarimu nafaa kuwa mke lakini wanasahau kuwa hivyo si vigezo vya mke bora.
  • Wanadai niko mchangamfu na mwenye kuwa na haiba bila kujiuliza kama nikiwa nao watakubali kusikia wenzao wakinisifia hivi.
  • Hawako wakweli, hata kama waliwahi kutembea na 'wenzangu' zaidi ya 20 wataniambia mimi ndiye wa tatu hiviiii
  • Wanadai mimi ni msomi na naenda na wakati wakati si kipimo cha mapenzi katika ndoa.
  • Wananipa ahadi kibao hata zisizoweza kutimilika kwa akili ya kibinadamu ili mradi niwaone bab kubwa.
  • Wanadai wananipenda sana na nikiwambia nimeathirika wengi husahau hata kuniuliza nini kimeniathiri.
  • Wengi wa habari, kila nikiwa nao naona wanageuka pindi 'wenzangu' wanapopishana nasi.

Sijui kina nani hawa? Wewe mmojawapo? Basi hunifai pia

Pole bi Tina na hayo yote yanayokukuta, ninachoweza kukushauri ni kwamba ukumchunguza kuku huwezi kumla na wala usitegemee kuwa utapata mchumba wa kutoka mbinguni kama utahitaji kuolewa wewe umeleza mengi kuwa wanakupenda kwa sababu fulani ,na wewe unaona hicho siyo kigezo cha msingi nimekuona kwako wewe ni mtu mwenye uelewa wa hali ya juu sana na unahitaji kilichobora kabisa lakini kumbuka huwezi kumpata atakayekidhi matakwa yako kwa aslimia 100 sasa ninachokushauri panga vigezo vyako na uanze kufanya utafiti atakayetimiza ndiye atakayekuwa mmeo lakini kumbuka methali isemayo

NDENGE MJANJANJA HUNASA KATIKA TUNDU BOVU [TAKE CARE]
 
That Avatar is a killer, I must admit

Wanaangalia bambataa langu hawajui mwenyewe naona kero kwa kugeukiwa kila mara (wataweza kuvumilia nikitembea nao barabarani nikiangaliwa na wenzao?)
"Does this dress make me look fat?"

Wanadai mi mpole na mkarimu nafaa kuwa mke lakini wanasahau kuwa hivyo si vigezo vya mke bora.
I beg you pardon!?

Wanadai niko mchangamfu na mwenye kuwa na haiba bila kujiuliza kama nikiwa nao watakubali kusikia wenzao wakinisifia hivi.
Life without a CHALLENGE is boring

Sijui kina nani hawa? Wewe mmojawapo? Basi hunifai pia
You're very picky I can tell; I would like to get to know you better! :)

.
 
Kikafu,

Yawezekana ndio gia ya Tina kutujenga hofu but nadhani haya mambo kila mtu ana usanii wake katika kutengeneza tenzi Tina akaingia line. Si lazima uwe na chapaa saaaaaana au gari la bei mbaya au utengenezewe castle mbezi beach my dear.... Kuna watu wamejaaliwa mashairi unapewa neno mtoto wa kike na unatoa mzigo meno nje kabisa bila ndoa wala nini.

So taratibu wakwetu!!!!Usitukane mamba kabla hujavuka mto..
 
  • Wananipenda wakati nikiwa mzima nikiugua kidogo huanza kutoweka.
  • Wananipendea uzuri wa sura na sauti yangu hawajui naweza kupata ajali nikapoteza reception hiyo na sauti ikawa ya kukoroma.
  • Wanaangalia bambataa langu hawajui mwenyewe naona kero kwa kugeukiwa kila mara (wataweza kuvumilia nikitembea nao barabarani nikiangaliwa na wenzao?)
  • Wanapenda waonje bila harusi, hawajui kuwa sina muda mchafu huo tena.
  • Wanakuja kwa gia ya kudai bila mimi maisha hayaendi japo nimekutana nao wakiwa wanaishi vema tu.
  • Wanadai mi mpole na mkarimu nafaa kuwa mke lakini wanasahau kuwa hivyo si vigezo vya mke bora.
  • Wanadai niko mchangamfu na mwenye kuwa na haiba bila kujiuliza kama nikiwa nao watakubali kusikia wenzao wakinisifia hivi.
  • Hawako wakweli, hata kama waliwahi kutembea na 'wenzangu' zaidi ya 20 wataniambia mimi ndiye wa tatu hiviiii
  • Wanadai mimi ni msomi na naenda na wakati wakati si kipimo cha mapenzi katika ndoa.
  • Wananipa ahadi kibao hata zisizoweza kutimilika kwa akili ya kibinadamu ili mradi niwaone bab kubwa.
  • Wanadai wananipenda sana na nikiwambia nimeathirika wengi husahau hata kuniuliza nini kimeniathiri.
  • Wengi wa habari, kila nikiwa nao naona wanageuka pindi 'wenzangu' wanapopishana nasi.

Sijui kina nani hawa? Wewe mmojawapo? Basi hunifai pia

You are looking for a perfect man. Be advised that such man have never existed. By the time you come to your senses, it will be too late. Eventually, you land on "nazi koroma"
 
Mimi zaidi nimrvutiwa na sifa zako tu japo sio mpenzi sana wa mizigo aka bamba taa kwa sababu I see no value in them.
 
Maneno matupu hayo!
Hakuna mwanamke mwenye ujanja kwa mwanaume ukinikataa mm utamkubalia mwenzangu km mm kwa hiyo hapo hujakwepa kitu.
 
  • Wananipenda wakati nikiwa mzima nikiugua kidogo huanza kutoweka.
  • Wananipendea uzuri wa sura na sauti yangu hawajui naweza kupata ajali nikapoteza reception hiyo na sauti ikawa ya kukoroma.
  • Wanaangalia bambataa langu hawajui mwenyewe naona kero kwa kugeukiwa kila mara (wataweza kuvumilia nikitembea nao barabarani nikiangaliwa na wenzao?)
  • Wanapenda waonje bila harusi, hawajui kuwa sina muda mchafu huo tena.
  • Wanakuja kwa gia ya kudai bila mimi maisha hayaendi japo nimekutana nao wakiwa wanaishi vema tu.
  • Wanadai mi mpole na mkarimu nafaa kuwa mke lakini wanasahau kuwa hivyo si vigezo vya mke bora.
  • Wanadai niko mchangamfu na mwenye kuwa na haiba bila kujiuliza kama nikiwa nao watakubali kusikia wenzao wakinisifia hivi.
  • Hawako wakweli, hata kama waliwahi kutembea na 'wenzangu' zaidi ya 20 wataniambia mimi ndiye wa tatu hiviiii
  • Wanadai mimi ni msomi na naenda na wakati wakati si kipimo cha mapenzi katika ndoa.
  • Wananipa ahadi kibao hata zisizoweza kutimilika kwa akili ya kibinadamu ili mradi niwaone bab kubwa.
  • Wanadai wananipenda sana na nikiwambia nimeathirika wengi husahau hata kuniuliza nini kimeniathiri.
  • Wengi wa habari, kila nikiwa nao naona wanageuka pindi 'wenzangu' wanapopishana nasi.

Sijui kina nani hawa? Wewe mmojawapo? Basi hunifai pia

Daaah don't try to critisize men, katika dunia hii jinsia zote hatujakamilika bwana you won't get a perfect guy hata siku moja, cha muhimu ni kuchukuliana mapungufu aisee ila ukianza kuongea hivyo tukueleweje kwamba you are too perfect ila huwa unazinguliwa ama?? Au ndo biashara matangazo...haya bana mi naondoka Tigo express yourself!! Kipepeo narukaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom