Kwanini sitaupigia kura Mlima Kilimanjaro, Hifadhi ya Serengeti wala Hifadhi ya Ngorongoro

Maajabu ya dunia? Hivi watu wa Kilimanjaro wanauona mlima Kilimanjaro kuwa ni maajabu! Ni maajabu kwa wao wazungu wanaoshangaa theluji kuonekana katika mlima uliopo TZ!
 
Mkuu hoja yako na wote walioiunga mkono ya kutokuupigia kura haina mashiko hata kidogo maana inaonyesha dhahiri umefikiria hatua moja mbele, naamini ungetulia kidogo na kufikiri miaka hata mitano mbele basi ungekuwa wakwanza kuupigia na kushawishi wengine waupigie kura pia....................kwani unadhani CCM watatawala milele?

Timiza wajibu wako kama mzalendo wa nchi hii maana kesho na keshokutwa wajibu wako utawasidia CUF au CDM au TLP au yeyote atakaye shika dola kuja kufaidi na matunda ya uzalendo wako

Mkuu tutimize wajibu Upi? Mkuu Sekta ya Utalii haijawahi kuwanufaisha Watanzania na Si dhana kama itakaa iwanufaishe, Chukulia Mfano wa Kule Serengeti, Kuna yule Mzungu wa SINGITA alipewa Kipande cha Iliyo kuwa Ikorongo Game resertve kwa MIAKA 99 mkuu unategemea nini hapo? na Mkijaribu kuvunja inakula kwenu ndo inakuwa yale ya RICHMOND kupelekana mahakama za Kimataifa za BIASHARA,

Kule LOLIONDO waarabu ni kama wako kwao, wanaua wanyama wanavyo taka, wanatorosha wanyama wanavyo penda yaani wao ndo wana amua waue wangapi na kwa stail gani,

MIMI SITAKAA NIPIGE KURA KWA SBABU SIONI FAIDA YAKE

Uliyeleta uzi huu hukujiandaa vyema, elewa hata usipopiga kura yako moja kakuna pigo. Suala hapa ni umaarufu wa vivutio na siyo wivu kwa wawekezaji, hakuna uhusiano na hoja yako. Hata kama eneo halikunufaishi halijiondoi kwenye ushindani, ndio maana tunarudi nyuma eti wakenya wanatangazia vivutio vyetu. Kama wewe hutambui vivutio vyako usilalamike eti Kenya wanadai mlima kilimanjaro uko kwao. Je serikali ya Tanzania ikugawie kiasi gani uli upige kura yako moja( kakura kamoja). Jipange, hapa ni voting. ebo!
 
Maajabu ya dunia? Hivi watu wa Kilimanjaro wanauona mlima Kilimanjaro kuwa ni maajabu! Ni maajabu kwa wao wazungu wanaoshangaa theluji kuonekana katika mlima uliopo TZ!

tena watuache....mlima wetu ulikuwa unatuletea neema.....nikiwa mtoto mito ilikuwa na maji mengi....mwaka mzima kijiji ni green tupu....matunda ya kila aina.....hewa safi....barafu mlimani tele.....lakini sasa hivi.....hakuna kitu......
 
Kuna safari ndefu kwa wabongo kuelewa mambo, haya ya wazungu na theluji ya mlima kili yanauhusiano na kupiga kura? Hamjui tunapozungumzia utalii tunazungumzia biashara ya ki-ulimwengu?, kwa taarifa yako Tanzania inapata kura kwa kupigiwa na watalii na siyo wabongo. Asilimia 5% tu ya wabongo/wa Tz ndio hutembelea vivutio vya Tanzania na mliochangia mada hii 000000000.1% yawezekana ndio mmefika angalau Hifadhi moja ya Taifa au Ngorongoro tena mlipokuwa mwanafunzi mkilipiwa na wazazi wenu, du!
 
wewe unaweza kuwa mmoja wa Watorosha Wanyama Nje ya Nchi, Kama ni watalii mbona lile shindano la Kutafuta Jabu saba jingine la Dunia hawakupigia Mlima Kilimanjaro na Badala yake waliupigia mlima wa South Africa?

Watalii ni Ok wanaweza Piga Kura kwa sababu hawajui Hila zinazo fanywa na Magamba ikiwemo kutorosha Wanyama Nje ya Nchi,

Mimi Binafisi sitapiga Kura kwa sababu sioni Manufaa ya Kufanya Hivyo, na Ishu si Kutembelea hizo hifadhi, ISHU NI WATANZANIA WANAFAIDIKA VIPI NA HAYO MAAJABU? swala la Kutembelea hifadhi za Taifa sio Fiada wanazo zitaka Watanzania Ingawa mnataka kuwaminisha watu wapige Kura ili wafaidike Kutembelea hizo hifadhi, wakati WAZUNGU WAKIFAIDIKA KUPIGA MADILI YA DOLA
 
Mkuu tutimize wajibu Upi? Mkuu Sekta ya Utalii haijawahi kuwanufaisha Watanzania na Si dhana kama itakaa iwanufaishe, Chukulia Mfano wa Kule Serengeti, Kuna yule Mzungu wa SINGITA alipewa Kipande cha Iliyo kuwa Ikorongo Game resertve kwa MIAKA 99 mkuu unategemea nini hapo? na Mkijaribu kuvunja inakula kwenu ndo inakuwa yale ya RICHMOND kupelekana mahakama za Kimataifa za BIASHARA,

Kule LOLIONDO waarabu ni kama wako kwao, wanaua wanyama wanavyo taka, wanatorosha wanyama wanavyo penda yaani wao ndo wana amua waue wangapi na kwa stail gani,

MIMI SITAKAA NIPIGE KURA KWA SBABU SIONI FAIDA YAKE

Mkuu muheshimiwa ngaranumbe amekujibu vema kabisa hapa chini

Uliyeleta uzi huu hukujiandaa vyema, elewa hata usipopiga kura yako moja kakuna pigo. Suala hapa ni umaarufu wa vivutio na siyo wivu kwa wawekezaji, hakuna uhusiano na hoja yako. Hata kama eneo halikunufaishi halijiondoi kwenye ushindani, ndio maana tunarudi nyuma eti wakenya wanatangazia vivutio vyetu. Kama wewe hutambui vivutio vyako usilalamike eti Kenya wanadai mlima kilimanjaro uko kwao. Je serikali ya Tanzania ikugawie kiasi gani uli upige kura yako moja( kakura kamoja). Jipange, hapa ni voting. ebo!

Mkuu Chasha unachanganya vitu viwili tofauti kabisa. Swala la kuupigia mlima Kilimanjaro na swala la ufisadi wa sekta ya utalii,
madai yote unayosema kuhusu ufisadi ni ya kweli kabisa lakini sasa unatakiwa kuja mambo haya

Dunia inautaratibu wake wa kutambua mambo fulani fulani ambayo yanaleta tija, leo hii mamilioni ya watu wanakwenda Misri kuangalia mapiramidi, wanakwenda india kuangalia sijui nini, wanakwenda mto amazon kuangali, wanakwenda mlima everest kuangalia nk nk, hivyo vivutio vilipitia michakato hii hadi leo vinanufaisha wananchi wa maeneo husika hata kama wakati vinapigiwa kura vilikuwa chini ya utawala gani

Kinachokutatiza wewe ni ubovu wa usimamizi wa rasilimali hizi lakini tambua ukipiga kura yako leo na mlima ukashinda basi kimataifa utakuwa umeupa chati ambayo itasaidia zaidi watalii kuja kutaka kuona maajabu hayo na mapato yake yataisaidia serikali ya CDM huko mbeleni itakapo kuja kusimamia mapato ipasavyo, kumbuka kura haipigwi kila mwaka...only once

Ni nafasi yako sasa kuufanya mlima Kilimanjaro kuwa ajabu la dunia kama mzalendo wa kweli maana kuufanya hivyo ni kuja kuirahisishia itakayokuja kuwa serikali ya CDM kupata mapato zaidi ya utalii pindi itakapochukua nchi hii miaka kadhaa mbeleni.
Na usipopiga basi utabaki mlima wa kawaida ambao mapato yake yatakuwa kiduchu na kuja kuikosesha serikali ya CDM Mapato hapo mbeleni

Na ndio maana nikakwambia umefikiria hatua chache sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kuna safari ndefu kwa wabongo kuelewa mambo, haya ya wazungu na theluji ya mlima kili yanauhusiano na kupiga kura? Hamjui tunapozungumzia utalii tunazungumzia biashara ya ki-ulimwengu?, kwa taarifa yako Tanzania inapata kura kwa kupigiwa na watalii na siyo wabongo. Asilimia 5% tu ya wabongo/wa Tz ndio hutembelea vivutio vya Tanzania na mliochangia mada hii 000000000.1% yawezekana ndio mmefika angalau Hifadhi moja ya Taifa au Ngorongoro tena mlipokuwa mwanafunzi mkilipiwa na wazazi wenu, du!

ISHU SI WABONGO WANGAPI WANATEMBELEA VIVUTIO, ISHU JE SERIKALI IMEWEZESHA WATANZANIA WANGAPI KUMILIKI MAKAMPUNI MAKUBWA YA KITALII?

- JE NI WATANZANIA WANGAPI WANA MILIKI MAHOTELI YA KULALA WAGENI KWENYE MBUGA ZA WANYAMA?

- JE BOOKING NA PAYMENT ZA KUPANDA MILIMA NA KWENDA MBUGANI ZINAZO FANYIKA NJE YA NCHI ZINA TIJA KWA WANANCH?

- JE TRA INAWEZA VIPI KUKAGUA MAPATO YA HIZI KAMPUNI WAKATI AKAUNT ZAO ZIKO NJE YA NCHI?

NYIE NDO MNAKAA KUAABUDU WAZUNGU NA KUWAONA NI KAMA MALAIKA FULANI HIVI, UTALII WA NDANI WATANZANIA WANAWEZA SANA , ILA KINACHO TAKIWA NI WATANZANIA WAMILIKI UCHUMI WA NCHI YAO WENYEWE,

Ni tajie Taifa hata Moja la Hao wazungu ambalo Uchumi wake unamilikiwa na Watu wa Mataifa mengine

Mkuu muheshimiwa ngaranumbe amekujibu vema kabisa hapa chini

Mkuu Chasha unachanganya vitu viwili tofauti kabisa. Swala la kuupigia mlima Kilimanjaro na swala la ufisadi wa sekta ya utalii,
madai yote unayosema kuhusu ufisadi ni ya kweli kabisa lakini sasa unatakiwa kuja mambo haya

Dunia inautaratibu wake wa kutambua mambo fulani fulani ambayo yanaleta tija, leo hii mamilioni ya watu wanakwenda Misri kuangalia mapiramidi, wanakwenda india kuangalia sijui nini, wanakwenda mto amazon kuangali, wanakwenda mlima everest kuangalia nk nk, hivyo vivutio vilipitia michakato hii hadi leo vinanufaisha wananchi wa maeneo husika hata kama wakati vinapigiwa kura vilikuwa chini ya utawala gani

Kinachokutatiza wewe ni ubovu wa usimamizi wa rasilimali hizi lakini tambua ukipiga kura yako leo na mlima ukashinda basi kimataifa utakuwa umeupa chati ambayo itasaidia zaidi watalii kuja kutaka kuona maajabu hayo na mapato yake yataisaidia serikali ya CDM huko mbeleni itakapo kuja kusimamia mapato ipasavyo, kumbuka kura haipigwi kila mwaka...only once

Ni nafasi yako sasa kuufanya mlima Kilimanjaro kuwa ajabu la dunia kama mzalendo wa kweli maana kuufanya hivyo ni kuja kuirahisishia itakayokuja kuwa serikali ya CDM kupata mapato zaidi ya utalii pindi itakapochukua nchi hii miaka kadhaa mbeleni.
Na usipopiga basi utabaki mlima wa kawaida ambao mapato yake yatakuwa kiduchu na kuja kuikosesha serikali ya CDM Mapato hapo mbeleni

Na ndio maana nikakwambia umefikiria hatua chache sana mkuu

Mkuu Kwanza si dhan kama Maajabu yote Duniani yalipigiwa Kura, Kwani Mto kama Amazon hata Bila Kupigiwa Kura si Inajulikana tu ulivyo? Kilimanjaro inajulikana ndo Mlima pekee wenye theluju na ulio Mrefu Balaani Africa,

Chukulia Mfano Wa ZANZIBAR, Zanzibar ilisha Ingizwa kwenye Urithi wa Dunia na Inatambuliwa Na UNESCCO, ila hata huko Zenji wanafaidika na Utalii wa Zanzibar ni WAZUNGU, ndo hao wanamiliki Mahoteli ya Kitalii ufukweni zanzibar na si Wazanzibar,

MKUU ISHU SI MAPATO, ISHU NI JE WATANZANIA WANGAPI WANA ENDESHA BIASHARA ZA KITALII? ISHU SI WATANZANIA WANGAPI WAMEAJIRIWA HUKO?

Mkuu si dhani kama Unajua Mapato ya Hoteli kama za Serena Zilizoko Ngorongoro, Manyara na Serengeti, ni Makubwa kuliko Pesa inazo Ingiza Hifadhi kama Ya Serngeti kwa Mwaka,

Kinacho sikitisha ni kwamba, Watanzania Hawajawezeshwa kuwa Waendeshaji wakuu wa shughuli za Kitalii, na matokeo yake wamechiwa Wazungu, Na hata watalii wakimiminika kama NZIGE watakao faidika ni WAZUNGU
 
ntapiga kura km wakiijali mbuga ya selou km wanavyoijali serengeti, ngorongoro, manyara.
 
Mkuu mnapo jadili kitu jibu hoja za msingi zinazo jitokeza na si kukimbilia ubaya wa utawala wa sasa na ukataka kukomoa hadi watawala wa kesho

Wewe unadhani maajabu yanayotajwa yalijiandika yenyewe.......do your home work just google it kwa elimu zaidi

Hoja yako unailazimisha na usimamizi mbovu wa rasilimali lakini kwani CCM itatawala milele?

Unafahamu nini kama ikipata ushindi itakuwaje?

Huu ni mfumo wa kidunia kama mlima utashinda maana yake utaatract watalii zaidi ambao kwa leo usasimamizi ni mbovu lakini kwa kesho watatoke wasimamizi wazuri na nchi itafaidika na kura yako

Mimi sio mwalimu nakosa namna bora ya kukufahamisha umuhimu wa kura zetu kwa siku za mbeleni tutakapo pata watawala bora kwasababu akili yako imepofuka na madhambi yanayofanyika sasa na hutaki kuamini kuwa kura yako itaufanya mlima uwe ajabu milele lakini watawala hawa abovu watapita na mlima utabaki palepale na hadhi yake kutokana na kura yako.

Usiwafikirie watawala hawa wabovu kwa sasa fikiria watawala wazuri wajao waje kuukuta mlima ukiwa na hadhi bora iliyotokana na kura yako leo
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom