Kwanini sisi wanawake/wasichana wanene na wenye makalio hatupati waume wa kutuoa?

mimi nachojua hawa wanawake wenye buster kubwa ni kivutio saana cha wanaume wengi maana kila kidume anataka aonje ili ajue ladha ya hiyo turbo v8 ukitaka kujua hili wee angalia mahali wapo group ya wanaume alafu apite demu aliyejazia huko nyuma utaona woote wanageuka kumwangalia hata kama kuna wababu hapo lazima nao wageuke kuangalia huo mzigo uliobwebwa. hii hali inawafanya waoaji wengi wana kufeel insecure kuwa na mwanamke wa dizain hiyo maana wanahisi wanaume wengine wanammendea.
Kuangalia sio kuvutiwa, hata mie naangaliaga saana tu ila sinaga hufagio na hayo manundu..heheee
 
mimi nachojua hawa wanawake wenye buster kubwa ni kivutio saana cha wanaume wengi maana kila kidume anataka aonje ili ajue ladha ya hiyo turbo v8 ukitaka kujua hili wee angalia mahali wapo group ya wanaume alafu apite demu aliyejazia huko nyuma utaona woote wanageuka kumwangalia hata kama kuna wababu hapo lazima nao wageuke kuangalia huo mzigo uliobwebwa. hii hali inawafanya waoaji wengi wana kufeel insecure kuwa na mwanamke wa dizain hiyo maana wanahisi wanaume wengine wanammendea.
Kinachoshangaza ni kile kilichozidi kawaida, kwa hili eidha wembamba sana au unene sana. Kwa hiyo kinachowageuza shingo wanaume shingo wakati mwanamke mnene anapita si uzuri wa unene huo bali unene kuliko kawaida
 
mnajidhalilisha. hivi unafikiri mwanaume gani utampa 0713 halafu akuoe?. sio wote wanene ambao hawaolewi, wanao jielewa wameolewa. mabonge wengi wavivu. unakuta ananawa miguu, mikono na uso kisha anaondoka bila hata kuoga sana sana atajipulizia manukato. acheni kujirahisisha. mabonge nmapenda kula ovyo ovyo, mahindi,karanga,papai, twist, parachichi, soda nk tena barabarani huku akitembea. mtu bonge nyama zimebebana kiasi kwamba akioga inabidi awe anainua nyama za tumbo na kusugua vingenevyo atanuka. mia
 
mimi nachojua hawa wanawake wenye buster kubwa ni kivutio saana cha wanaume wengi maana kila kidume anataka aonje ili ajue ladha ya hiyo turbo v8 ukitaka kujua hili wee angalia mahali wapo group ya wanaume alafu apite demu aliyejazia huko nyuma utaona woote wanageuka kumwangalia hata kama kuna wababu hapo lazima nao wageuke kuangalia huo mzigo uliobwebwa. hii hali inawafanya waoaji wengi kufeel insecure kuwa na mwanamke wa dizain hiyo maana wanahisi wanaume wengine wanammendea.

NB:

Wanawake wenye buster kubwa ndio wanaoongoza kuwa na ALBANUUN FILHAYAT DUNIA tamu ndogo na moto kuliko madem wembamba sasa hii ni kwa mujibu wa taarifa ya kiintelejensia zilizoto mtaani .
aaahahahahahaha...albanuni fil hayat duniya ndo nini mkuu?
 
mnajidhalilisha. hivi unafikiri mwanaume gani utampa 0713 halafu akuoe?. sio wote wanene ambao hawaolewi, wanao jielewa wameolewa. mabonge wengi wavivu. unakuta ananawa miguu, mikono na uso kisha anaondoka bila hata kuoga sana sana atajipulizia manukato. acheni kujirahisisha. mabonge nmapenda kula ovyo ovyo, mahindi,karanga,papai, twist, parachichi, soda nk tena barabarani huku akitembea. mtu bonge nyama zimebebana kiasi kwamba akioga inabidi awe anainua nyama za tumbo na kusugua vingenevyo atanuka. mia

Katika maisha yako mkuu, hujawahi kutongoza demu mnene?
Na je, ina maana hakuwa wanawake wembamba wasiotoa harufu?
Naomba jibu.
 
Binafsi siwataki kabisa warembo wanene wala sijawahi kuwa kwenye mahusiano na binti mnene.Labda nimeathirika na English figure ya mpenzi wangu wa kwanza kabisa.Kikubwa ni kwamba, wengi huamini warembo wanene wanapandisha pressure gafla sana kuliko wembamba.Nimeshuhudia jirani yangu alipogombana na wake, siku iliyofuata waliamkia Bugando hospital akiuguza lol!
 
Kwa hiyo wewe unaishi kwa kuiga toka kwa jirani yako.
 
wanaume tunataka tipate familia yenye afya njema sasa wee mama kibonge ...a health hazzard kweli hao watoto watakuwa wenye afya jamani!?
 
80 and above.

Inategemea na urefu wako na figure yako!!!!!!!!! Wkurya iko enda hewani sanaaa, najazia kwenye guu na paja zao na ile kalio ila haiko na nyonyo kabisaa wala tambi na kono nyembamba na iko nzito sanaaaa hadi kg 90 coz fupa yoa iko ndefu na zito! Na haina nyama uzembe hata kidogo!

Ila mutu ya pwani iko fupi naweza kuta na kilo 60 ila iko jaa nyama uzembe kila sehemu ya mwili.
 
Back
Top Bottom