Kwanini sisi wanaume hatuvai sketi?

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Huwa najiuliza wanaume havutiwi kuvaa nguo za kike kwa nini??wakati wanawake wanavutiwa kuvaa nguza kiume kuanzia,Trouser,shirt,coat,shortpens,boxer!hivyo nibaadhi!wakati wanaume wa scotland wanavaa sket!sema nikwanini?
 
Ahaaa mpwa tanmo tena yamekuwa ya Boflo?inamaana wale wawingereza ni maboflo??lol!
 
Swali jamani King kong nimeuliza ila wewe ukienda tofauti na swali basi umeamua kunitusi!
 
Kwani zamani wewe unajua kulikuwa na vazi gani??tazama warumi,wayahudi!
 
Hebu onesha mfano, huenda ukapata wafuasi.. Akina Bofffffff..!

Ningependa huyu mnaemtaja hapa , afunguke mwenyewe kama it's true anaendana na miondoko hiyo.
Coz mbona mi nimuonavyo simuoni kama anaendana na miondoko hiyo ? Akipita hapa atuondolee utata inatuchanganya!
 
Back
Top Bottom