mfungwa
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,291
- 341
Mungu aliumba ulaya baridi, na akawapa matunda machache ya baridi. Udongo usio na rutuba,hakuna hata mbuga moja ya Wanyama. Kisha akaumba Africa yenye kila kitu kizuri. Mbuga za wanyama kibao, udongo safi maziwa na gesi, maembe yapatikane tu Africa ulaya yasiwepo,madini kila aina.kisha wazungu eakamnungunikia Mungu why unaupendeleo. Bwana akajibu waacheni MTAONA VIONGOZI WAO. Kazi kweli asiye na akili ila tumbo.