Kwanini sio rahisi kusikia mganga wa kienyeji kutoka moshi?

massai

JF-Expert Member
May 2, 2011
653
137
Nimekua Arusha kwa muda mwingi hii desember nimekutana na vijitangazo kibao kuhusu waganga wa kienyeji wengi utasikia wanatoka rukwa,sumbawanga,ufipa,kigoma alakini huwezi sikia mganga kutoka moshi,vipi hili lina uhusiano gani na maendeleo na changamoto zima la maendeleo ya kiuchumi kielimu na mambo mengine. Vipi kuna ukweli hapo au ni mtazamo wa watu??au tuelewe nini kuhusu hizo sehemu watokapo hao waganga??
 
hata Bukoba hamna waganga wa kienyeji sahihisha ili uweze kupata wachangiaji wengi
 
well n' good hakuna waganga wa matangazo ila kule uchagani ni washirikina sana tena sana wakuteketeza ndugu na mali, akina mangi watanikubalia kwa hilo!
 
U mr clean u have to prove that beyond a reasonable daubt otherwise i wil prosecute u factless dumb!!
 
Wa moshi wawe waganga afu kupika vitimoto na wizi afanye nani? Huo ni mgawanyo wa majukumu. Ni kama wapare walivyo washona viatu na mafundi cherehani, wa iringa mahaousigeli, ...
..Dah!
 
wachaga hawahitaji wagaga wa kienyeji coz wao ni wachawi sana wapenda mali, wanajificha kwa maovu yao wanayoyafanya kwa kusafiri umbali kubwa kuufuata utajiri kama kigoma kule, sumbawanga, tanga wanafanya hivyo ili waonekane ni wasafi
 
Nimekua Arusha kwa muda mwingi hii desember nimekutana na vijitangazo kibao kuhusu waganga wa kienyeji wengi utasikia wanatoka rukwa,sumbawanga,ufipa,kigoma alakini huwezi sikia mganga kutoka moshi,vipi hili lina uhusiano gani na maendeleo na changamoto zima la maendeleo ya kiuchumi kielimu na mambo mengine. Vipi kuna ukweli hapo au ni mtazamo wa watu??au tuelewe nini kuhusu hizo sehemu watokapo hao waganga??

Mkuu labda nikujibu kwa mfano huu ujue ktk jamii tunayoishi kuna bidhaa flani zinatoka ktk nchi flani zinapendwa kwa sababu nchi hiyo inatoa bidhaa nzuri na imara. pia kama ukisikia huyu ni mchaga moja kwa moja unapelekea mawazo yako kuwa ni mjanja wa biashara. basi hivyo hivyo waganga wafanyavyo maana wateja wao wamekuwa na imani na waganga kutoka nyanja hizo
 
Jamaa mkoa ule hawana imani na mambo haya ya uganga uganga,hata pia c wateja sana kwenda kuganguliwa, hata kwenye utafutaji jamaa wanachemsha akili plus wizi lkn c dawa dawa kama Wakinga wa Makete na kutapakaa Iringa nzima
 
wachaga hawahitaji wagaga wa kienyeji coz wao ni wachawi sana wapenda mali, wanajificha kwa maovu yao wanayoyafanya kwa kusafiri umbali kubwa kuufuata utajiri kama kigoma kule, sumbawanga, tanga wanafanya hivyo ili waonekane ni wasafi
Mwenzio anauliza ni kwanini hukuti ktk mabango yao wanaandika mganga kutoka Moshi?
 
Nimemuelewa sana tu thats y nimesema watu wa moshi wanajificha hawataki kuonekana kama ni washirikina
 
hata Bukoba hamna waganga wa kienyeji sahihisha ili uweze kupata wachangiaji wengi

Kweli mkuu, waganga wa kienyeji Mkoa wa Kagera ni nadra sana kuwaona; sababu moja wapo ni mtizamo wa imani kwamba dini zilienezwa mapema kule aidha factor nyingine ni elimu.
 
Nimekua Arusha kwa muda mwingi hii desember nimekutana na vijitangazo kibao kuhusu waganga wa kienyeji wengi utasikia wanatoka rukwa,sumbawanga,ufipa,kigoma alakini huwezi sikia mganga kutoka moshi,vipi hili lina uhusiano gani na maendeleo na changamoto zima la maendeleo ya kiuchumi kielimu na mambo mengine. Vipi kuna ukweli hapo au ni mtazamo wa watu??au tuelewe nini kuhusu hizo sehemu watokapo hao waganga??

lakini ni moshi siku za hivi karibuni alitokea kondoo wa maruhani hivi??? ingawa hii haina ubishi kwamba waganga wa kienyeji moshi hakuna ni kutokana na wenzetu kwenda shule
 
Back
Top Bottom