Kwanini serikali inalipa mawaziri bila kufanya kazi?

NG'OMBE

JF-Expert Member
Mar 26, 2011
362
80
Wanajf habari, poleni na shughuli za harakati za maisha. Mimi nauliza ni kwa nini serikali ya JK inaendelea kuwalipa pesa wawazili wa AFYA na naibu wake? Watu hawa wanafanya kazi gani, maana MADAKTARI walimwambia JK bila kumficha kuwa hawatashirikiana nao kwa kazi yoyote ile, na wao ndiyo viongozi wa wizara wanaongoza nani basi?. Mimi ninapata shida sana, sielewi ni nini hasa wanachokifanya hapo wizarani? Kama JK hajapata mbadala wao angeacha wazi basi nafasi hizo hapo angeeleweka kwa watanzania lakilni kwa sasa haeleweki na hataeleweka kwa watanzania yeye na chama chake. Mwisho wa siku wataanza kusema tutafanya tasimini ili tujue tumeshindwaje kwenye uchaguzi. Haya yote watu wanayaona na wanakusanya hasila tu iko siku watafanya jambo ambalo ccm hawataamini kitakachotokea.
MY TAKE: Naomba watanzania wote wapenda haki walisemee suala hilo na hatua zichukuliwe ili kuondoa hali hii.
 
Do you think that Ministers are always there only for Doctors?
 
Actually nchi hii tunapeana vyeo kwa ajili ya kusaidiana kutunza familia na kufanya ufisadi ili kujilimbikizia mali. Ndo maana huwezi kuona mahala popote waziri amepewa targets zozote na mwishowe anafanyiwa performance evaluation. Nchi ikiwa inaendeshwa hovyo hovyo na kila kitu kitaenda hovyo
 
Kama umefuatilia kampeni za Igunga na Arumeru utajua kuwa mawaziri wetu hawana kazi. mwezi mzima mawaziri kadhaa walikuwa wakiongopa na kutukana Arumeru.
 
Unajua bwana, kuna vitu vingine usiseme kwa kuwa havijakupata wewe. Hebu fikiria kama wewe ni mfanyakazi na umeumwa kwa muda mrefu, na zaidi sana ukute kuumwa kwako kunahusiana na kazi yako. Ina maana ungependekeza mwajiri wako akusimamishe kazi kwa kuwa unaumwa kwa muda mrefu?

Usimtakie mtu mwingine jambo ambalo hungependa litokee kwako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom