kwanini serikali hisifanye kama hawa?

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Govt mulls sops to encourage hybrid car manufacturing in India - Economic Times

hii itakua njia mojawapo ya kupunguza matumizi ya serikali endapo serikali yetu itaamua kwa dhati kabisa kuanza kutumia magari yanayotumia mafuta kidogo (haswa kwa upande wa gharama za manunuzi ya vyombo vya usafiri na gharama za kuendesha vyombo hivyo).

Serikali ya Marekani pamoja na utajiri wao, magari ya serikali yanatumia blend ya ethanol na gasoline (ambayo kwa kiwango kikubwa inapunguza matumizi ya serikali, na pia kwa kiasa fulani, mazingira yanakua yanatunzwa {in form of low CO2 emissions}).

http://www.consumerreports.org/cro/...anol/government-support-for-ethanol/index.htm
http://www.cdphe.state.co.us/ap/down/hybridreport.pdf.

ni wazo tu wadau.
 
Back
Top Bottom