Kwanini selikali yetu isiige na hili?

Dachr

Senior Member
Aug 25, 2011
110
8
Mara nyingi linapotoke tatizo au janga lolote katika nchi yetu kauli ambazo viongozi wetu huwa wanazitoa zinanishangaza.Ilipotoke tatizo la mtikisiko wa uchumi na gharama za maisha kuwa juu walipoulizwa wakasema ulaya nako hivyo mabom kulipuka,umeme kukatika na ukosefu mwingine wa huduma za jamii utasikia wanakwambia na nchi fulani ipo hivyo.kwamana hiyo kila kichofanyika Tz nilazima tuige kutoka taifa fulani.Tunashudia maandamano nchi ambazo wamezoea kuiga,kwakua tumezoea kuiga basi warusu na mandamano yanayoendelea katika mataifa mengine nasisi tuige.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom