Kwanini Rais anatudanganya?

Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee kumuita rais ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .

Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais muongo, ahadi zote zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zitakuwa zimekamilika.

Pasco
Komaa utapata ukuu wa wilaya
 
Mwandishi amesema hivo kutokana na kauli hizo kupingana na nyenzake just within a short period of time kama alivyonukuu hapo juu,dai lako lingekuwa na mantiki kauli hizo zisingekinzana mpaka 2020 lakini hata1 year haijaisha tayari kauli hizo zinakinzana kama zilivyoorodheshwa!
 
Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .

Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .

Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika. hayo maneno Jamhur ya Muungano wa Tanzania hayapo Kwenye uzi umeyaongeza wew kaka Pasco. Angeyataja ingekua na tafsir nyingne tofaut. Labda anamuongelea Rais wa Rwanda au Burundi. Nmeongea kwa muktadha wa sheria

Pasco
 
Coz muda ndo huwa ombi kubwa la mwanasiasa...Asiye kuwa mtekelezaji wa sera kwa wakati...sasa tumpe miaka mingine mitano..
 
Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .

Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .

Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.

Pasco
Angalia kwanza hiki kibonzo kisha linganisha na yanayotokea hivi sasa
 
1477462296126-jpg.424404

cc Pasco
Nakumbuka hili lilikuwa ni tangazo lenye mihemko la TRA ambalo sasa halisikiki tena redioni
 
Back
Top Bottom