Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,797
- 71,215
Safari za ulaya tulizokuwa tunakataa ni zile za kwenda kubembea na kukaa na kupigapiga mapicha na wasanii lakini safari chache za muhimu hazikwepeki kwa nchi kama hii.
Tatizo mkwere alishajenga taswira kuwa kwenda ulaya ni kutembeza bakuli la kuomba omba. Rais anaweza kusafiri kwenda kushinikiza hata biashara ya bidhaa zetu au kutafuta teknolojia mpya ambazo hatuna.
Lakini kujifanya hutoki eti unapambana hapa hapa ni sawa na mkulima wa Nanjilinji agomee kwenda Lindi mjini kisha mazao yake yanamuozea na soko liko mjini anagoma kwenda kisha umasikini unazidi kumtafuna.
Hao wanaosema atembelee majimboni hivi ni kipi asichokijua huko? Miaka 20 waziri na Mbunge hajajua tuu kukoje?