Kwanini Rais aende Ulaya badala ya majimboni kwao akaone shida zao?

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
Kwenye mtandao ya kijamii na kwenye vijiwe na baadhi ya wanasiasa aswa wabunge wote kwa pamoja wamekuwa wakimtaka rais magufuli aende ulaya kwenye mikutano ya kimataifa lakini cha ajabu ambacho Mimi sielew.

Kwanini sauti na midahalo hiyo haipazi sauti kumtaka rais aende MAJIMBONI kwao wakmuonyeshe shida za wapiga kura wao na wananchi kwa ujumla shida zinazowapata wananchi ili akazitafutie majibu ya kudumu,

Kipi ni cha muhimu kwa.masikini wa kitanzania rais wao kwenda ulaya au rais wao kwenda KUONA shida zao?

Je Watanzania tunajua kipi chenye faida ya moja kwa moja kwetu? Ni lini fikra za kitumwa tutaondokana nazo aswa sisi Waafrika?
 
Kwenye mtandao ya kijamii na kwenye vijiwe na baadhi ya wanasiasa aswa wabunge wote kwa pamoja wamekuwa wakimtaka rais magufuli aende ulaya kwenye mikutano ya kimataifa lakini cha ajabu ambacho Mimi.sielewi
Kwanini sauti na midahalo hiyo haipazi sauti kumtaka rais aende MAJIMBONI kwao wakmuonyeshe shida za wapiga kura wao na wananchi kwa ujumla shida zinazowapata wananchi ili akazitafutie majibu ya kudumu,

Kipi ni cha muhimu kwa.masikini wa kitanzania rais wao kwenda ulaya au rais wao kwenda KUONA shida zao,?
Je watanzania tunajua kipi chenye faida ya mojakwamoja kwetu?

Ni lini fikra za kitumwa tutaondokana nazo aswa sisi waafrika?
Kikwete aliwalemaza. Ndio maana unaambiwa kujenga mfumo wenye kukumbatia uzembe ni rahisi sana lakini kujenga mfumo wa uwajibikaji ni ngumu sana sana. Halafu ujue kuwa kuna watu wengi sana wa CCM na upinzani na waandishi wa habari walikuwa wanafaidika na mfumo legelege wa awamu ya nne.
 
Kwa Mara ya kwanza nimekutana na comment ya ki afrika na kutanzania
Isiyo na.chembe ya siasa uchwara nisizozipnda adi kufa kwangu,
Hakuna kitu nakichukia kama kuabudu wazungu ,nimesema vitabu vingi aswa vilivyoandikwa wa waasisi wa afrika
Nikiona MTU anajiita kiongozi na eti mzarendo then ajui madhara ya wazungu na unafiki wao ZIDI ya Mali na umasikini wa waafrika kuwa mtaji wao wazungu?
Inaniuma sana
 
Ukiona kiongozi yeyote kijana au wa kiwango cha umri wa kati hajui wazungu walichoifanya libya na kujifanya ombaomba kwa wazungu ni bora afe kwa faida ya kizazi kijacho
 
Kwa Mara ya kwanza nimekutana na comment ya ki afrika na kutanzania
Isiyo na.chembe ya siasa uchwara nisizozipnda adi kufa kwangu,
Hakuna kitu nakichukia kama kuabudu wazungu ,nimesema vitabu vingi aswa vilivyoandikwa wa waasisi wa afrika
Nikiona MTU anajiita kiongozi na eti mzarendo then ajui madhara ya wazungu na unafiki wao ZIDI ya Mali na umasikini wa waafrika kuwa mtaji wao wazungu?
Inaniuma sana
matatizo ya Tanzania hayahitajo kuyatembelea kuyajua ndugu. yanafahamika hasa kwa mtu aliyekuwa waziri.
 
Asante sana mleta mada. Akili za kinafiki zinasumbua wengi sana nchini mwetu. Rais aliwaambia tangu mwanzo mimi nguvu zangu nazielekeza humu humu Tanzania. Akawaambia hata yule aliyezoea kusafiri hovyo bila sababu safari hii asahau. Leo hii wale wale waliotakiwa kumuunga mkono wanalipinga tamko ambalo alilijengea hoja nzito bungeni. Leo wanataka Rais ageuke kuwa mwanadiplomasia kama alivyokuwa JK. Hapo ndipo ujue kwamba unafiki ulikuwa mwingi sana wakati wa awamu ya JK, walimuona ni rais mpole wakaamua na wao kuishi kadri ya alivyoishi ili waweze kula maisha.

Urais wa Magufuli ni vita nzito kwani tangu awali kabisa amekataa kupelekeshwa na wanafiki, amekataa kuwapendezesha watu wasio na shukrani. Ameamua kuupeleka moyo wake wote kwa walio wengi, wanaohangaika kupata mlo mmoja wa siku. Mleta mada wasome watu wengi humu JF utagundua kuwa adui wa Tanzania siku zote ni Mtanzania.
 
Kwenye mtandao ya kijamii na kwenye vijiwe na baadhi ya wanasiasa aswa wabunge wote kwa pamoja wamekuwa wakimtaka rais magufuli aende ulaya kwenye mikutano ya kimataifa lakini cha ajabu ambacho Mimi.sielewi
Kwanini sauti na midahalo hiyo haipazi sauti kumtaka rais aende MAJIMBONI kwao wakmuonyeshe shida za wapiga kura wao na wananchi kwa ujumla shida zinazowapata wananchi ili akazitafutie majibu ya kudumu,

Kipi ni cha muhimu kwa.masikini wa kitanzania rais wao kwenda ulaya au rais wao kwenda KUONA shida zao,?
Je watanzania tunajua kipi chenye faida ya mojakwamoja kwetu?

Ni lini fikra za kitumwa tutaondokana nazo aswa sisi waafrika?
Anasoma tuisheni kwanza akimaliza ataanza kwenda ulaya
 
Kwa Mara ya kwanza nimekutana na comment ya ki afrika na kutanzania
Isiyo na.chembe ya siasa uchwara nisizozipnda adi kufa kwangu,
Hakuna kitu nakichukia kama kuabudu wazungu ,nimesema vitabu vingi aswa vilivyoandikwa wa waasisi wa afrika
Nikiona MTU anajiita kiongozi na eti mzarendo then ajui madhara ya wazungu na unafiki wao ZIDI ya Mali na umasikini wa waafrika kuwa mtaji wao wazungu?
Inaniuma sana
===MZARENDO===?????Hii ni ya wapi kayenze au gibitoke?
 
Kwenye mtandao ya kijamii na kwenye vijiwe na baadhi ya wanasiasa aswa wabunge wote kwa pamoja wamekuwa wakimtaka rais magufuli aende ulaya kwenye mikutano ya kimataifa lakini cha ajabu ambacho Mimi.sielewi
Kwanini sauti na midahalo hiyo haipazi sauti kumtaka rais aende MAJIMBONI kwao wakmuonyeshe shida za wapiga kura wao na wananchi kwa ujumla shida zinazowapata wananchi ili akazitafutie majibu ya kudumu,

Kipi ni cha muhimu kwa.masikini wa kitanzania rais wao kwenda ulaya au rais wao kwenda KUONA shida zao,?
Je watanzania tunajua kipi chenye faida ya mojakwamoja kwetu?

Ni lini fikra za kitumwa tutaondokana nazo aswa sisi waafrika?

Hivi hata huko majimboni anaonekana?
 
Rais Nyerere (late, R. I. P.) alitowa mfano wa zuzu anayeshabikia kipande cha chupa badala ya almasi original. Watz wengi regardless ya nafasi zao serikalini ni mazuzu.

Kwenye mtandao ya kijamii na kwenye vijiwe na baadhi ya wanasiasa aswa wabunge wote kwa pamoja wamekuwa wakimtaka rais magufuli aende ulaya kwenye mikutano ya kimataifa lakini cha ajabu ambacho Mimi.sielewi
Kwanini sauti na midahalo hiyo haipazi sauti kumtaka rais aende MAJIMBONI kwao wakmuonyeshe shida za wapiga kura wao na wananchi kwa ujumla shida zinazowapata wananchi ili akazitafutie majibu ya kudumu,

Kipi ni cha muhimu kwa.masikini wa kitanzania rais wao kwenda ulaya au rais wao kwenda KUONA shida zao,?
Je watanzania tunajua kipi chenye faida ya mojakwamoja kwetu?

Ni lini fikra za kitumwa tutaondokana nazo aswa sisi waafrika?
 
Okey Pombe asiende Ulaya na pia asiwatoroke mabalozi anaowaalika Ikulu, awe mwanaume with real two balls awatazame usoni hao wazungu awaeleze msimamo wake mboni kwa mboni kuwa hakubaliani na jambo fulani au anakubaliana na jambo fulani sio kukimbia vikao vya kiume.
Umesahau kumwambia kuwa na hilo bakuli la kujazia 40%ya bajeti alitupe kabisa,isiwe baniani mbaya lkn kiatu chake dawa
 
Kwa taarifa nilizo zipata ni kuwa wewe jina lako limekatwa kutoka kwenye orodha ya watu wanaotakiwa kupewa kibarua,poooleeeeeView attachment 322403

Kwa taarifa nilizo zipata ni kuwa wewe jina lako limekatwa kutoka kwenye orodha ya watu wanaotakiwa kupewa kibarua,poooleeeee
Uchaguzi umekwisha mwaka jana wewe akili yako bado inafanya kampeni mpaka leo hii.
 
Bro, hili lofa akili yake imejaa funza halijui kutenganisha siasa na maisha ,pia halijui kutenganisha siasa na utaifa lenyewe linachojua ni kupinga kila kitu,
Nikupe habali yake huyu ni mfasi wa MTU anahamahama nae ukiona MTU hana falsafa ya maisha huyo ni dead body,
 
Kikwete aliwalemaza. Ndio maana unaambiwa kujenga mfumo wenye kukumbatia uzembe ni rahisi sana lakini kujenga mfumo wa uwajibikaji ni ngumu sana sana. Halafu ujue kuwa kuna watu wengi sana wa CCM na upinzani na waandishi wa habari walikuwa wanafaidika na mfumo legelege wa awamu ya nne.

Ni kweli kabisa kamanda yule mkweree aliwalemaza kwa kuwahonga wabunge safari za nje ambazo hazikuwa na tija pamoja na kuwajaza posho chungu nzima ili hali walewe na kupitisha madudu yake huko bungeni kwa mfano ile mikataba yake ya gesi na wachina iliyopitishwa kwa mtindo wa voda fasta!! Kikwete kwavile alizoea mambo ya rushwa alifanya hivyo hivyo kwenye bunge la katiba kwa kuwahonga mapesa mengi wajumbe aliowateua yeye mwenyewe ili wampitishie katiba ambayo ingemlinda na udhaifu aliouonesha wakati wa utawala wake!!

Sasa ukiangalia kwa makini hawa wabunge wanaolalama kuwa Rais Magufuli hafanyi safari za nje,wanafanya hivyo sio kwa nia nzuri bali kwa uroho wao wa kutaka kusafiri ili nao wapate sababu ya kusema mbona Rais anafanya safari za nje basi na wao waende huko ughaibuni kubembea!! Bahati yetu nzuri ni kwamba Magufuli sio mtu wa kubembea kama alivyokuwa DHAIFU na nina uhakika anayaelewa hayo mayowe ya wabunge yana lengo gani.
 
Ni kweli kabisa kamanda yule mkweree aliwalemaza kwa kuwahonga wabunge safari za nie zisizo na tija patoja na kuwajaza pocho chunga enzima ili hali walewe na kupitisha madudu yake kwa mfano ile mikataba ya geese!! Kikwete alifanya hive hive kwenye bunge la katiba kwa kuwanga wajumbe aliowateua yeye mwenyewe ili wampitishie katiba ambyo ingelimda na udhaifu aliouonesha wakati wa utawala wake!!

Sasa ukiangalia kwa makini hawa wbunge wanaolalama kuwa Rais Magufuli afanya safari za nje sio kwa nia nourri bali kwa uroho was ili nao zapatee sababu ya kusema mbona Rais nafanya safari za nie basi na tao waende huko ughaibuni kubembea!! Bahati yetu nzuri ni kwamba Magufuli sio mtu wa kubembea ka alivyokuwa DHAIFU na nina uhakika anayaelewa hayo mayowe ya wabunge yana lengo gani.
Bro kitila mkumbo alisema chini ya rais magufuli kuna wanasiasa kazi YAO itakuwa kama ya fisi kusubili mzoga adi kunakucha
Ndo wanasiasa wanavyofanya HAWANA jipya LA kusema kwa masila ya watanzania Bali wanasubili rais afanye kosa furani NDO wapate cha kusema,kwa hali hii utajua makosa tunayofanya kupata viongozi
 
Back
Top Bottom