Kwanini private candidates wengi wanafeli?

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Ukiangalia matokeo ya kidato cha nne mwaka huu kama ilivyo miaka iliyopita private candidates wengi wamedondokea kwenye division Four na Zero. Miaka ya hivi karibuni binafsi nimeshuhudia wanafunzi wengi ambao ni private candidates kwa kidato cha nne na sita ( hasa kidato cha nne) wanafeli kwa kiwango cha kuhuzunisha.

Je, unadhani sababu ni nini? hawasomi ipasavyo? au usahihishaji wao unakuwa tofauti?

NB:
Binafsi sitaki kuamini kwamba wanafunzi hawa wana uwezo duni!!! ( mwenye kufahamu sababu ruksa kunisahihisha)
 
jibu
private

kaulize maksi zao.ukipata nafasi ya mwanzo itumie uko mbele ni wksi tupu
 
jibu
private

kaulize maksi zao.ukipata nafasi ya mwanzo itumie uko mbele ni wksi tupu

Pdidy,

haiwezekani iwe kwa kiwango kikubwa namna hii, there is something wrong somewhere!!!! baadhi nawajua wanaweka bidii katika kusoma ili wafaulu mitihani. Na sidhani kwamba ukifeli mara ya kwanza ndo basi tena huwezi kubadilika. Ndo maana hata universities kuna supplementary exams na watu huwa wanatoka.
 
Back
Top Bottom