Kwanini ofisi ya Ortello Business Corporation (OBC) ipo karibu na ikulu ndogo Arusha?

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Nimeweza kufahamu kua ofisi ya hawa waarabu wa OBC ipo opposite na ikulu ndogo pale Arusha.

Sasa nikioanisha uwepo wa iyo ofisi katika eneo kama ilo, naanza kuelewa kua OBC wapo pale strategically na wamepewa ofisi iyo intentionally.

Ndio maana vilio vya wanaLoliondo kule Ololosokwani, Soitsambu, Losoito Maaloni na Oloirien Magaiduru vinakua kama machozi ya samaki kwenye ziwa, mto au bahari.

Au mnaonaje wanaJF???
 
kwani hapo karibu na ikulu ndogo hakuna ofisi za jirani zaidui ya hizo za ortelo?
 
Nimeweza kufahamu kua ofisi ya hawa waarabu wa OBC ipo opposite na ikulu ndogo pale Arusha.

Sasa nikioanisha uwepo wa iyo ofisi katika eneo kama ilo, naanza kuelewa kua OBC wapo pale strategically na wamepewa ofisi iyo intentionally.

Ndio maana vilio vya wanaLoliondo kule Ololosokwani, Soitsambu, Losoito Maaloni na Oloirien Magaiduru vinakua kama machozi ya samaki kwenye ziwa, mto au bahari.

Au mnaonaje wanaJF???

Ndugu yangu haya sasa majungu, what is wrong kwa mtu au kampuni kuwa na ofisi karibu na Ikulu ndogo? Labda Kama kuna sheria imevunjwa?
 
Jamani mnaweza kumwona huyu jamaa anawakilisha majungu lakini kwa wale wanaofahamu vizuri Waarabu wa Loliondo na mahusiano ya karibu ya hao jamaa na serikali tangu awali watamwelewa mleta hoja maana hao jamaa watoa sana misaada kwa milango ya uani ambayo serikali inaitumia kwa manufaa ya viongozi wachache pasipo kutiliwa shaka
Mwenye akili zake achambue mambo
 
Jamani mnaweza kumwona huyu jamaa anawakilisha majungu lakini kwa wale wanaofahamu vizuri waarabu wa loliondo na mahusiano ya karibu ya hao jamaa na serikali tangu awali watamwelewa mleta hoja maana hao jamaa watoa sana misaada kwa milango ya uani ambayo serikali inaitumia kwa manufaa ya viongozi wachache pasipo kutiliwa shaka
Mwenye akili zake achambue mambo
Pia iko karibu na bar ya JImkana na pia iko karibu na bar nyingine kwa chini opposite na nyumba ya Jaji mama nyerere mke wa makongoro. huu ni uchinvi. Mbona hujasema kiwanja kilichouzwa nyuma ya ikulu kama unaingia mto Temi ambacho ni cha Ikulu??
 
I hate Arabs, i want them to move out of those areas, though hata wafanyakazi wa kule Loliondo walishaambia kuwa kama CCM ingeshindwa ndiyo ilikuwa mwisho wao kufanya kazi kule. Hivyo inaonekana kuwa wanafanya biashara kule kwa mkono wa vigogo wa CCM.
 
Sio majungu haya. Kwa kawaida ofisi zisizo za kiserikali na kiusalama hazipaswi kua karibu na ikulu. Ndo mana nikapenda kupata uchambuzi wa great thinkers katika ili jambo. OBC is very strategic,hata PRO wao ni mmasai! It has even tried to buy out village government supports by giving them 25 mil. tsh each year. But the villages didn't buy it. So OBC stopped last year. Kwa ili la kua karibu na ikulu kwakweli nashindwa kuelewa. Pengine ndo mana wanaweza kua na magari yenye plate namba za uarabuni pale Loliondo,na kuweza kusafirisha wanyamapori HAI kwenda uarabuni bila vikwazo vyovyote. Great thinkers what do you think of that?!
 
Nakubaliana nawe!
 
I hate Arabs, i want them to move out of those areas, though hata wafanyakazi wa kule Loliondo walishaambia kuwa kama CCM ingeshindwa ndiyo ilikuwa mwisho wao kufanya kazi kule. Hivyo inaonekana kuwa wanafanya biashara kule kwa mkono wa vigogo wa CCM.

Wacha ubaguzi na uhasidi Hawa jamaa hawana Shida na loliondo kwa tarifa yako na mfalme akijua kwamba wananchi hawamtaki hatakuja tena wasimamizi wanajaribu kuficha kwa mfalme ,lakini ujue wananchi wanao nufaika ni wengi kuliko wanao mpinga fanya uchunguzi wacha kuropoka.
 
Nimeweza kufahamu kua ofisi ya hawa waarabu wa OBC ipo opposite na ikulu ndogo pale Arusha.

Sasa nikioanisha uwepo wa iyo ofisi katika eneo kama ilo, naanza kuelewa kua OBC wapo pale strategically na wamepewa ofisi iyo intentionally.

Ndio maana vilio vya wanaLoliondo kule Ololosokwani, Soitsambu, Losoito Maaloni na Oloirien Magaiduru vinakua kama machozi ya samaki kwenye ziwa, mto au bahari.

Au mnaonaje wanaJF???

Na kihusu soko la samaki la ferry kuwa karibu na ikulu kuu mnaionaje wana JF?
 
Hawa jamaa (OBC) nimewa-google karibia miezi miwili lakini kuna taarifa zake chache sana kwenye mitandao...! WHY?
 
Mkuu hili lilipigiwa kelele sana kuona nyumba ya serikali iliyopakana na IKULU inauzwa kwa Mfanyabiasha wa Kiarabu.
Kwataarifa za fasta hata JK halali tena hapo amekua akitumia kodi zako na zangu kupangisha GUEST HOUSE katika mahoteli ya kitalii hapa arusha.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom