Kwanini nyimbo za malaria, ukimwi, mafuriko etc hazinogi?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,782
Wasanii wetu wakiimba nyimbo zao kwa ajili ya biashara zinakuwa tamu sana kuzisikiliza.
Haohao wakiimba nyimbo za maafa au magonjwa hutopata hamu hata kidogo ya kuurudia wimbo huo.
Midundo mibaya, mirindimo mibaya ya sauti, yaani kero tu.
Sijui tatizo haswa ni nini?
 
Back
Top Bottom