Kwanini Mwalimu Nyerere aling'oa reli ya Dar-Lindi, Mtwara, Nachingwea?

Nimewahi kusikia kuwa kabla ya uhuru wa Tanganyika kusini mwa Tanzania Mkoa wa Mtwara kuliwahi na Railway line iliokua inaunganisha Mtwara na Wilaya ya Nachingwea. Aiadha mara baada ya uhuru wa Tanganyika serikali ya Mwalimu ikaamua kung'oa reli hiyo na kwenda kujenga reli ya Dar/Moshi. Kwa ufahamu wangu naamini kuwa wazungu (wakoloni) walioamua kujenga reli hiyo walikua na madhumuni yao kwa mikoa ya kusini mwa Tanganyika. Lakini mpaka hivi sasa sijui kwa nini Wazungu waliamua kujenga Reli kusini na Kwa nini serikali ya Mwalimu iliamua kung'oa reli hiyo?........Naomba wan jf kwa yeyote ambae ana ufhamu mzuri kuhus hili basi anifahamishe na mimi niongeze ufahamu wangu.....nawakilisha.

Wakoloni walijenga reli hiyo (Mtwara- Nachingwea) kwa ajili ya mashamba makubwa ya karanga yaliyofunguliwa kule Nachingwea. Lengo lilikuwa kusafirisha mazao hayo toka Nachingwea hadi Mtwara - bandarini. Mashamba hayo hayakufanikiwa kama ambavyo walitarajia kutokana na matatizo kadhaa. reli hiyo ikawa haina kazi iliyokusudiwa ikang'olewa mwaka 1953. Kwa wale amabao wamefika kusini bado unaweza kuona alama mpaka leo, kwa mfano tuta la reli, madaraja na majina ya stesheni. Bado wakazi wa Nachingwea wanafahamu mashamba hayo yaliyotelekezwa na wakoloni, yalijulikana sana kuanzia farm one (Farm 1)hadi farm twenty one(21) yalikuwa mashamba makubwa sana. maeneo haya sasa yamekuwa mapori na wanavijiji wanalima. Kwa wale waliofuatilia ukombozi wa wa kusini mwa Afrika miaka ya 60-70- 80, kambi za wapigania uhuru ziliwekwa katika lilipokuwa shamba namba 17 (farm 17). Nji wa Nachingwea haukuwa kitovu tu cha wakoloni tu, bali ni mji unaojulikana sana kwa mafunzo ya kijeshi katika ukombozi wa kusini mwa Afrika, na nadhani ni mji pekee wenye kambi nyingi za jeshi (pamoja na JKT)
 
Mimi nimepanda treni hiyo mwaka 1961 kutoka Mtwara hadi stesheni ya Nanganga! Sababu zilizotolewa hapo juu ni kweli. Hata hivyo haikung'olewa mwaka 1953!
 
nimesoma majibu ya watu wengi, wengi wameonesha udini, lakini muulizaji hajalenga kwenye udini, sioni sababu ya kuambiwa watu wamekimbia umande, sioni sababu ya kusema muulizaji kaenda madrasa, labda nikufahamisheni kitu kimoja, madrsa imeanza kufundisha ngozi ina sense organs miaka elfu moja mia nne iliyopita, madrasa imefundisha juwa linazunguka miaka elfu moja mia nne iliyopita, madrasa imefundiha reproduction system miaka elfu moja mia nne iliypopita, na stages we human beings are going through in our mothers woumb, kitu ambacho chromologist (hapa herufi zimenipita) wamegunduwa juzi, kwa hiyo madrasa imertufundisha science ambayo mpaka leo wanaoenda shule hawaijui. vita vya majimaji vimepiganwa na watu walioenda madrasa, waliandikiana barua na kuwasiliana, sasa unasema madrasa haina elimu, au elimu ni kuandika herufi ambazo mimi na wewe tunazielewa. acheni ubwege, wajapani wagunduzi hawazijui herufu hizi, amkeni. au ndio maana hamzitaki shule za kata kwa sababu wanaoogopa umande sasa wataenda shule(ahhhhhhhhhhhhhh kumbe walikuwa hawaogopi umande walifanyiwa kusudi na wakoloni)............... mimi nawapenda wakolonui walivyotugawa kwa sababu tumebaki tunajisifu ujinga na tunaendeleza ujinga............... bye
 
  • Thanks
Reactions: Ami
Sio kwa ajiri ya mambo ya kiusalama maana Renamo was a threat and makaburu wa huge security concern those days.But well, pengine kuna sababu nisioijua au kuifikiria
 
Nyerere aling'oa reli ya kusini kutekeleza ule mpango wake maalum wa kuwadhulumu jamii ya kiislam period

Kale ka-babu udini ulimsumbua sana
 
Reli ilikuwa mtwara - masasi na iling'olewa na simba wa Vita mzee, marehemu Rashid Mfaume Kawawa wakati akiwa waziri mkuu. sina kumbukumbu sahihi ni kipi kilichomkasirisha hadi kumshauri mwalimu aing'oe! Hata hivyo mjadala unapoelekea kidini inakuwa ni ujinga mkubwa
 
Udini wa nyerere hachomiki evidence is everywhere
 
Nasikia Nyerere alikuwa anaogopa mashambulizi ya Wareno na Makaburu kutokea Msumbiji enzi za Kupigania Uhuru Kusini Mwa Afrika
 
unajuwa enzi hizo vipaumbele vya reli na kuweka rami vilivuata zaidi uchumi wa eneo husika yaani nini kilichopo eneo husika ambacho kinaweza kuiletea taifa na kuingizia taifa mapato so nadhani kama ilikuwepo waling'owa kwa sababu ya kuwa eneo husika halikuwa na tija kiuchumi

mapinduziiii daimaaaaa

rami = lami
 
Wote mnaochangia hapa mnatoa hisia tu, hakuna mwenye vivid evidence ya kwanini mwl alifanya hivyo. Kama suala ni udini eti kuwadhulumu waislam, jiulize huyo Kawawa aliyekua Waziri Mkuu ni wa dini gn? Binafsi sidhani kama ni udini kwani waziri mkuu na washauri wengine wa mwl. wasingekubali. Tuache kila kitu kukurupukia udini, udinh, udini, wewe udini unaujua ?? Anachokifanya ****** tukianzakusema udini nani ataponea? Achakutumia masaburi kufikiri.
 
reli iliyo kuwepo ni Mtwara-Masasi-Nachingwea. Ilingolewa baada ya uhuru ikisimamiwa na Waziri Jamal.

macinkus
 
Wote mnaochangia hapa mnatoa hisia tu, hakuna mwenye vivid evidence ya kwanini mwl alifanya hivyo. Kama suala ni udini eti kuwadhulumu waislam, jiulize huyo Kawawa aliyekua Waziri Mkuu ni wa dini gn? Binafsi sidhani kama ni udini kwani waziri mkuu na washauri wengine wa mwl. wasingekubali. Tuache kila kitu kukurupukia udini, udinh, udini, wewe udini unaujua ?? Anachokifanya ****** tukianzakusema udini nani ataponea? Achakutumia masaburi kufikiri.

Napenda kuchangia km ifuatavyo: Ni kwanini nyerere hakufanya lolote si Ujenzi wa mashule,vyuo,barabara,reli na hata majengo ya serikali kwa kipindi chote cha utawala wake zaidi ya tulivyo RITHI TOKA UTAWALA WA KIKOLONI?
 
Kwa hiyo Kikwete asilaumiwe kwa sababu hata Nyerere nae alikuwa na mapungufu??? Hizo hoja ni pumba kabisa!! Kama kumtetea JK ndio kuleta mambo ya hovyo hovyo namna hi basi kazi ipo!!
-Hiyo reli ya Dar-Mtwara ilikuwa inapita njia gani?
-Iling'olewa lini na kwa amri ya nani?
RELI YA DAR MTWARA ILIKUA INAPITA NJIA GANI? We kweli kilaza reli ni njia tena ipite jua ya njia, RELI YA TAZARA inapita njia gani? Bogus we.
 
RELI YA DAR MTWARA ILIKUA INAPITA NJIA GANI? We kweli kilaza reli ni njia tena ipite jua ya njia, RELI YA TAZARA inapita njia gani? Bogus we.

Mkuu nimeipenda hii. Masaburi wapo wengi kweli humu. JITU linauliza kuhusu RELI isiyokuwepo kuwa Iling'olewa!!

Kha! masaburi wengi humu. Na bado mijitu mingine haisomi inajibizana tu, no wonder tutawatawala milele!

nimesoma majibu ya watu wengi, wengi wameonesha udini, lakini muulizaji hajalenga kwenye udini, sioni sababu ya kuambiwa watu wamekimbia umande, sioni sababu ya kusema muulizaji kaenda madrasa, labda nikufahamisheni kitu kimoja, madrsa imeanza kufundisha ngozi ina sense organs miaka elfu moja mia nne iliyopita, madrasa imefundisha juwa linazunguka miaka elfu moja mia nne iliyopita, madrasa imefundiha reproduction system miaka elfu moja mia nne iliypopita, na stages we human beings are going through in our mothers woumb, kitu ambacho chromologist (hapa herufi zimenipita) wamegunduwa juzi, kwa hiyo madrasa imertufundisha science ambayo mpaka leo wanaoenda shule hawaijui. vita vya majimaji vimepiganwa na watu walioenda madrasa, waliandikiana barua na kuwasiliana, sasa unasema madrasa haina elimu, au elimu ni kuandika herufi ambazo mimi na wewe tunazielewa. acheni ubwege, wajapani wagunduzi hawazijui herufu hizi, amkeni. au ndio maana hamzitaki shule za kata kwa sababu wanaoogopa umande sasa wataenda shule(ahhhhhhhhhhhhhh kumbe walikuwa hawaogopi umande walifanyiwa kusudi na wakoloni)............... mimi nawapenda wakolonui walivyotugawa kwa sababu tumebaki tunajisifu ujinga na tunaendeleza ujinga............... bye
Na hata chuo kikuu cha mwanzo nchini kingekuwa ni Chan'gombe cha waislamu kama si Nyerere.Waliochangia chuo kikuu cha mlimani wengi ni waislamu kuliko wao wakristo.Waislamu walihamasisha kuvumbua lakini wakristo waliuwa wavumbuzi.Kuogopa umande kuko wapi hapa?.
 
14 Reactions
Reply
Back
Top Bottom