Kwanini Ngono inapendwa na kila Binadamu?

sio kila bindamu,masister na mapadri wakikatoliki hawpendi


Are you trying to be sarcastic or something?

Have you heard of "Father Oprah" or any of the myriad of the Catholic sex scandals?
 
hate sex, one is overrated, second is not trustfull, i feel pain after ejaculation...sifagiliii sex....

,
 
Ngono ni tamu ndio na lazima watu waipende kwani imeumbwa kimaumbile ili kutoshana kimatamanio ya kimwili kwa wale walo katika mapenzi ya ndoa au uchumba n.k, na nafkiri inabaki kuwa tamu popote pale na hasa pale iibwapo' the stolen water is sweet n' pleasant' suala la malaya au kahaba ni biashara mtu kujipatia kipato, na cdhani yupo atasema eti nilifanya na kahaba yule na haikuwa tamu mmh! Haipo, ila utamu na uhakika wa hiyo ngono umiliki mkeo
 
Mkuu Ngabu mi nimepoteza kumbukumbu..Hivi binadamu haangukii kundi la wanyama?mie mambo haya nimesoma zamani sana..
 
Sio binadamu wote wanaopenda ngono, kuna mapadri na sisters hawafanyi hichi kitu jamani.
 
Hapo umesema kweli kabisa. Ni kweli tendo hili huwa unalifurahia sana ukiwa na yule uliyempenda moyoni mwako kwa mapenzi ya kweli. Sidhani kama kunakuwa na same enjoyment ya tendo hilo kwa wale ambao hufuata machangu doa ukilinganisha na wale wafanyao na wale wanaopendana nao kwa dhati kabisa.
acha uongo me akikaona kale kadude ka ''v'' tuuuu mzuka unapanda si unaona vichaa wale kabisa wanaokula majalalani wana zaa na maofisa kabisa!
 
Back
Top Bottom