Kwanini neno nguvu za kiume limetawala sana? Nijibu

mwakabembe

Member
Apr 27, 2012
11
0
Inavyo onekana watu wengi hawajui maana ya nguvu za kiume. huenda hata wewe hujui. ndiyo maana wengine wanavuka mstari na kusema hata wanawake wanazo nguvu hizo.

wengi huchanganya wanashindwa kutofautisha kati ya HISIA NA UWEZO WA KUFANYA MAMBO na nguvu zenyewe za kiume.

kwa sababu hiyo wengi wanazani uwezo wa kukwea mlimani mara nyingi zaidi, na jamaa kusimama kwa muda mrefu zaidi basi anazo nguvu za kiume kumbe siyo. unaweza kuwa hivyo na bado ukawa naupungufu wa nguvu hizo. hii imewapelekea wengi kununua DAWA AMBAZO HUFANYA KAZI KAMA VIAGRA, WAKIDHANI WANAONGEZA NGUVU ZA KIUME. KUMBE NDIYO WANAJIMALIZA KABISA.

POLENI WOTE JARIBU KUTAFUTA UKWELI ZAIDI USIJE KUJIUA.

JE WANAWAKE WANANGUVU ZA KIKE? KAZI YA NGUVU HIZO NI NINI?

biologist
 
Yani wewe unaongelea nini hapa mbona sijakufahamu.

Unataka kusema wanao panda wanawake huwa hawana nguvu za kiume?
 
Kha...

Kama wewe ni bailogisti basi umesomea shule za akina Nchimbi na majimarefu... lol

Inavyo onekana watu wengi hawajui maana ya nguvu za kiume. huenda hata wewe hujui. ndiyo maana wengine wanavuka mstari na kusema hata wanawake wanazo nguvu hizo.

wengi huchanganya wanashindwa kutofautisha kati ya HISIA NA UWEZO WA KUFANYA MAMBO na nguvu zenyewe za kiume.

kwa sababu hiyo wengi wanazani uwezo wa kukwea mlimani mara nyingi zaidi, na jamaa kusimama kwa muda mrefu zaidi basi anazo nguvu za kiume kumbe siyo. unaweza kuwa hivyo na bado ukawa naupungufu wa nguvu hizo. hii imewapelekea wengi kununua DAWA AMBAZO HUFANYA KAZI KAMA VIAGRA, WAKIDHANI WANAONGEZA NGUVU ZA KIUME. KUMBE NDIYO WANAJIMALIZA KABISA.

POLENI WOTE JARIBU KUTAFUTA UKWELI ZAIDI USIJE KUJIUA.

JE WANAWAKE WANANGUVU ZA KIKE? KAZI YA NGUVU HIZO NI NINI?

biologist
 
Msafara wa Mamba..........
Jamaa haeleweki,labda anataka ku justify kuwa ana Nguvu za Kiume ilhal hampi kitu inatakiwa wife/gf wake na maana mchovu,one minute man na lazima agongewe mwaka huu...
 
Inavyo onekana watu wengi hawajui maana ya nguvu za kiume. huenda hata wewe hujui. ndiyo maana wengine wanavuka mstari na kusema hata wanawake wanazo nguvu hizo.

wengi huchanganya wanashindwa kutofautisha kati ya HISIA NA UWEZO WA KUFANYA MAMBO na nguvu zenyewe za kiume.

kwa sababu hiyo wengi wanazani uwezo wa kukwea mlimani mara nyingi zaidi, na jamaa kusimama kwa muda mrefu zaidi basi anazo nguvu za kiume kumbe siyo. unaweza kuwa hivyo na bado ukawa naupungufu wa nguvu hizo. hii imewapelekea wengi kununua DAWA AMBAZO HUFANYA KAZI KAMA VIAGRA, WAKIDHANI WANAONGEZA NGUVU ZA KIUME. KUMBE NDIYO WANAJIMALIZA KABISA.

POLENI WOTE JARIBU KUTAFUTA UKWELI ZAIDI USIJE KUJIUA.

JE WANAWAKE WANANGUVU ZA KIKE? KAZI YA NGUVU HIZO NI NINI?

biologist

Hebu tuhabarishe wewe unaejua unaongea nini basi tujue!
 
sasa we bandugu katika hii lecture yako sijui umejaribu tu kutueleza nini sio maana ya anguvu za kiume... kwa nn hutuelezi nguvu za kiume ni nini kwa ufahamu wako? yaani ni kama unagusa upande mmoja wa shilingi na hutuelezi upande mwengine, nadhani kama wewe ni biologist unajua scientific ways of doing researches, na pia how to write scientific researches.... hamna scientific evidence katika ujumbe wako
 
so many people responded to my post.

I want to add this information=
Diminished libido (sex drive), erectile dysfunction (impotence) is a sexual problem in men with the following characteristics:

  • An inability to acquire or maintain an erection satisfactory for sexual intercourse (also called impotence or erectile dysfunction [ED])
  • A lack of interest in sex (diminished libido)
  • Premature ejaculation
  • Delayed or inhibited ejaculation

CAUSES OF SEXUAL PROBLEMS IN MEN

Impotence, also referred to as an erectile dysfunction (ED), is the term used to describe men who cannot acquire or maintain an erection during 75 percent of attempts to have sexual intercourse. Men who experience an occasional inability to have an erection and then have no problems later do not have ED.

Limited blood flow - anything that limits blood flow to the penis can cause impotence. The most common conditions that limit blood flow include cigarette smoking, diabetes, high blood pressure, alcoholism, drug abuse, normal aging, and depression.
In addition, many commonly prescribed medications can interfere with male sexual function.
Psychological causes - Depression, performance anxiety, and lack of focus are common causes of psychogenic impotence.

  • Depression - Loss of libido and lack of interest in sexual activity are common symptoms of depression. Impotence is, in itself, a depressing experience for any man. Many men choose to accept a decline in sexual function as a natural consequence of aging. Because of shame or embarrassment, they do not discuss this problem with their healthcare provider. This is unfortunate because it is possible to determine the cause(s) of sexual problems, and many options are available to treat erectile dysfunction.
  • Performance anxiety - Performance anxiety may develop in men who suddenly experience one or more erectile failures during intercourse. The focus of the sexual act shifts from a sensual experience to one filled with anxiety. During later attempts to have sex, the inability to acquire and maintain an erection becomes the focus of the sexual experience.
  • Lack of sensate focus - Lack of sensate focus refers to the decline in the importance of sex. As a man matures, his interests and concerns expand. If, in the midst of sexual intimacy, he finds himself preoccupied with concerns about money or business matters, his mind will drift and he will lose his sexual focus as well as his ability to concentrate on the sensual experience, both of which are needed to maintain an erection.

yours biologist

Inavyo onekana watu wengi hawajui maana ya nguvu za kiume. huenda hata wewe hujui. ndiyo maana wengine wanavuka mstari na kusema hata wanawake wanazo nguvu hizo.

wengi huchanganya wanashindwa kutofautisha kati ya HISIA NA UWEZO WA KUFANYA MAMBO na nguvu zenyewe za kiume.

kwa sababu hiyo wengi wanazani uwezo wa kukwea mlimani mara nyingi zaidi, na jamaa kusimama kwa muda mrefu zaidi basi anazo nguvu za kiume kumbe siyo. unaweza kuwa hivyo na bado ukawa naupungufu wa nguvu hizo. hii imewapelekea wengi kununua DAWA AMBAZO HUFANYA KAZI KAMA VIAGRA, WAKIDHANI WANAONGEZA NGUVU ZA KIUME. KUMBE NDIYO WANAJIMALIZA KABISA.

POLENI WOTE JARIBU KUTAFUTA UKWELI ZAIDI USIJE KUJIUA.

JE WANAWAKE WANANGUVU ZA KIKE? KAZI YA NGUVU HIZO NI NINI?

biologist
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom