Elections 2010 Kwanini NEC Imechelewesha Matokeo ya Urais kutoka Majimbo Yaliyonyakuliwa na Chadema?

Gosbertgoodluck

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
2,856
400
Viongozi wa Chadema,

Wananchi tunashangaa kwa nini NEC imeanza kutangaza matokeo ya urais kutoka kwenye majimbo ambayo chadema haiungwi mkono sana. Binafsi ninakubaliana na wazo la mwana JF mmoja kwamba this is a "calculated move" inayolenga kuwaandaa wananchi kisaikolojia ili wasishangae matokeo yatakayochakachuliwa kutoka kwenye majimbo yenye kura nyingi za Dr. Slaa. Ndiyo maana narudia kwa mara nyingine tena kushauri kwamba viongozi wa chadema wakatae katakata matokeo ya urais na kupeleka kesi mahakamani ili haki itendeke ikiwa ni pamoja na kuhesabu kura upya.
 
Majimbo ambayo ccm wana nguvu ndipo kura nyingi zilizoingizwa nchini kutoka South Afrika zimeingizwa kwa wingi, majimbo waliyoshinda chadema wanachelewesha kwa sababu wanapata shida sana jinsi ya kupenyeza hizo kura feki za JK.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom