Marafiki wa mama wengi ni kina mama wa nyumbaniunahitaji msaada wa kisaikolojia.
Back to the topic baadhi ya wanaume ni kama wanyama hawana utu. Ila bora ungeomba msaada kwa marafiki wa mama yako,
Ndugu wa mama wengi wako Kigoma ndg wa baba wengi walinikwepaSamahani kwa hili swali wazazi awakuacha mali yoyote ambayo ingeweza kukusahidia kama ingeuzwa na apakuwepo na ndugu wa kuweza kukufadhili upande wa baba au mama yako.wanaume ni watu wazuri sana kama he has a GOD fear.n
Nimeacha, kuna kipindi nilifanya Field sehemu fulani nilimweleza yuleHaya mama soma shule itakutoa....ila unatakiwa uache sasa hiyo kazi
Tatizo sitamani tena kuwa na mwanaume, sina uhakika kwa sikuPole sana kwa maisha magumu/machungu uliyopitia
1.futa hasira na chuki uliyonayo moyoni kuhusu hao wanaume
2.jaribu kusahau mambo uliyoyafanya zamani
3.umefanikiwa kwenda chuo tafuta kazi nyingine achana na hiyo unayofanya (uchangudoa)
4.mshirikishe muumba wako akusaidi uweze kujitambua na kuishi maisha uliyokuwa unayatamani
Naanimi ukijiamini/kuachana na yote utafanikiwa na mwisho wa yote hao wanaume unaowachukia utampata mmojawapo atakayekupenda/kukuoendolea upukwe na machungu yanayokupelekea kufanya yote unayofanya.
Shem hili sredi limeniumiza sana........Mcharuko pole saana Mpenzi na hii story ulotoa hapa.... INASIKITISHA kwa kweli. Pole saana. However Men are funny creatures... Mwanaume yeyote yule haaminiki dear.. wapo exceptions ambao waweza kua waaminifu but majority wako hivo.. in other words ina maana it is better woote uwachukulie wako hivo ili ujue jinsi ya kuwa-handle. Wanaume awe babako, awe Mjombako, awe babuyo, awe kakako, awe binamu.. woote hao wana possibility kubwa ya kukulala wewe.... it is a sad fact but true.
Back to you.... Wee ni more of a psychological problem. inaonesha you enjoy sex, ila tu kuwaamini ndo kero kwako, kumuamini mmoja wao akawa your shoulder ndio inakua shida... However you should know kua as much as they are funny creatures wana umuhimu saana katika maisha yetu in one way or another... Na the good thing ni kua you and only you have the power ya kuamua ni jinsi gani wakutreat... you want them to treat you like shit; they will treat you like shit! You want them to treat you like a hooker: they will treat you like a hooker! You want them to treat you like a queen; they will treat you like a queen! In short you just have to study em' know the type of guy you like... And stick to him.
Note that sio kazi ndogo kujitune uweze wapenda... But jaribu dear for ni muhim. Best of Luck.
Pamoja Saana
ADI.
Mcharuko popote pale ulipo,
Mimi ODM nakusihi na kukuomba uwe na moyo wa msamaha.
Tusamehe sie wanaume mabaradhuli.
Wakati mwingine huwa tunaacha ubaradhuli na kuwa binadamu kama malaika.
Waweza kujuta kutuchukia ukikutana na mmoja wetu atakayekuthibitishia kuwa si wote ni wanyama kama hiyo mingumbaru iliyokutendea unyama. (hapo nimeyatukana mitusi ya nguoni na vinyeo vyao viwawashe mpaka waje wakuombe radhi.........maaanina zao)