Kwanini nafeel hivi?

Mu-Sir avatar yako tu inaonesha hauna cha kusema,pole sana hahahaha
 
Inawezekana una mawazo, au haupo sawa kiafya.
Jaribu kutafuta mtu wa kusoma nae, mjipangie ratiba na uhakikishe unaifata.
Pia, unaweza kusoma na mziki (kama unaweza, ni nzuri hauchoki na unafurahia unachokisoma),
usipende kuconcentrate sanaaaa, jaribu kurelax wakati unasoma. Soma notes zako kama vile unasoma gazeti, mtu aliyemaliza kusoma gazeti ukimuuliza ni rahisi kukuelezea kuliko mtu aliyetoka kusoma notes za darasani hii ni kutokana na huo mtindo wa usomaji.
Jaribu kuandika summary pembeni.
Pia muda mzuri wa kusoma ni unapotoka kuamka. Akili bado inakuwa imetulia.
Unaweza ukawa na maji ya kunywa pembeni, hii itakusaidia usiwe unasinzia.
USISAHAU
Kusoma kuelewa, kukesha.......

Kama unakesha na unaelewa what is bad with it?
Thanks,nimekamata ushauri wako but am not sick
 
brain is exhausted with too many tasks like how CPU in ur computer can slow down if it has a lot to do, do this FIND FOOD RICH IN OMEGA 3
or tabs supplements, pata enough sleep, then you will see how ur brain will gain power, you won't believe ur self, but also LOVE WHAT you do, sometimes
brain is healthy but psycological problems of doing what u don't love, REMEMBER UBONGO UNAPENDA RAHAAAAAAAAA, ukijua hilo
utaji control, follow what i said
 
Mkuu you are getting bored on programming???, I thought labda unasoma vitu unimaginable things kama atomic physics..., au organic chemisty,

Uzuri wa vitu kama programming, mathematics etc..., unaweza ukafanya quiz ukiwa umechoka..., na pia they are practical you learn more by doing and not reading like a book..., so keep on programming myfried and when you are tired have a break do something different come back and pick up where you left off by the way have you seen GOOD WILL HUNTING...

Nop,hauchoki with programming infact unaweza kushangaa kumekucha bila kujua hata imekuwaje
About Good will Hunting no,ila nimeitafuta hapa its some kind of a novel nimeipenda toka mwanzo tu,i will read it!

Tell me more,na kusahau vitu unavosoma pia ni kwa sababu ya nini?
Thanks once again
 
brain is exhausted with too many tasks like how CPU in ur computer can slow down if it has a lot to do, do this FIND FOOD RICH IN OMEGA 3
or tabs supplements, pata enough sleep, then you will see how ur brain will gain power, you won't believe ur self, but also LOVE WHAT you do, sometimes
brain is healthy but psycological problems of doing what u don't love, REMEMBER UBONGO UNAPENDA RAHAAAAAAAAA, ukijua hilo
utaji control, follow what i said

Wow,thanks Mr.President
I will follow that,now i love JF even more hahaha thanks for JF i got enough and challenging counseling here
 
Nop,hauchoki with programming infact unaweza kushangaa kumekucha bila kujua hata imekuwaje
About Good will Hunting no,ila nimeitafuta hapa its some kind of a novel nimeipenda toka mwanzo tu,i will read it!

Tell me more,na kusahau vitu unavosoma pia ni kwa sababu ya nini?
Thanks once again
Mkuu ubongo unafanya kazi vizuri kama ukipata visual things (ndio maana ni vigumu kusahau movie uliyoangalia, na ni rahisi kusahau ile page ya tatu ya notes ulizosoma jana)... thats why kila ukisoma usikariri, jaribu kuelewa na kuvisualize jiulize ni kwanini ni hivi na sio hivyo..., think in real life is it possible.., visualize jinsi hicho kitu kinavyofanyika... although itachukua muda ila haitatoka kichwani

kuhusu good will hunting its a movie ambayo ilimtoa Matt Demon na Ben Afleck.. its about kijana mmoja alikuwa Genius sana lakini alikuwa hataki kutumia kipaji chake yeye anapenda kukaa na washikaji zake na kuenjoy.... angalia trailer yake hapo chini (its one of the best movies, watch it you will enjoy)
 
Last edited by a moderator:
Mkuu jaribu kutoka eneo unalotumia muda mwingi,.Kwa mfano kama upo hostel jaribu kwenda hata club. Kama ni mtumiaji wa kilevi pata kidogo then sakata rumba hadi majogoo ikiwezekana. Nina uhakika ukirudi utakuwa na hamu ya kusoma.
 
Asanteni sana kwa ushauri aisee,now nipo kwenye msitari wa kupiga msuri ajabu na ndo maana nimechelewa kuja kuangalia ushauri wenu hapa jf,.....
I feel like tupo pamoja,jf is like a house to me
 
Thanks a lot Voice,you are one among the great men i have got the best advice from through JF,thanks a lot and stay blessed
 
Last edited by a moderator:
Mkuu jaribu kutoka eneo unalotumia muda mwingi,.Kwa mfano kama upo hostel jaribu kwenda hata club. Kama ni mtumiaji wa kilevi pata kidogo then sakata rumba hadi majogoo ikiwezekana. Nina uhakika ukirudi utakuwa na hamu ya kusoma.

Asanteni sana kwa ushauri aisee,now nipo kwenye msitari wa kupiga msuri ajabu na ndo maana nimechelewa kuja kuangalia ushauri wenu hapa jf,.....
I feel like tupo pamoja,jf is like a house to me
 
Mkuu jaribu kutoka eneo unalotumia muda mwingi,.Kwa mfano kama upo hostel jaribu kwenda hata club. Kama ni mtumiaji wa kilevi pata kidogo then sakata rumba hadi majogoo ikiwezekana. Nina uhakika ukirudi utakuwa na hamu ya kusoma.

Kweli,nimegundua kua hata sehemu nayotumia kwa mda mrefu nayo inachangia kuchoka mapema,asante sana mkuu
 
Sure,i should keep going on no matter what,bora ningeomba ushauri hapa mapema kumbe thanks again
i need more mawazo ya namna ya kufanya ukichoka lakini uendelee kufanya kazi
Ndugu yangu hakuna vita ambavyo mpiganaji anavifurahia ila ukishinda tu furaha tele, mpaka unadhani unapata zawadi za bure, kumbuka hata Misri na Tunisia kama wangeona aa! tunaona tumechoka kulala nje au kuacha shughuli zetu wasinge watoa marais wao kwenye viti vyao, muda ni pesa, na pesa ni matokea ya juhudi ya wazazi kukufanya uweze kufaulu na wao wapate sifa kidogo sana, lkn ww utapata kazi nzuri, maisha mazuri unayoamua mwenyewe, lkn ukiona uvivu kuhangaika leo basi kesho nishida sn, mm nimesoma ADA TIA 2002 to 2005 nikiwa nafanyakazi usiku kuanzia saa tano mpaka 2asubuhi hotelini, natakiwa kuwepo college kuanzia 2 mpaka kumi na moja jioni masaa 9 jumla 18 kwa miaka 3, ilikuwa hardship lkn namshukuru Mungu nilipita, leo nimeweza kuongeza kengine juu ya ADA kwani nimeweza kupata kazi nyingine kama accountant namshukuru Mungu , jipe moyo heri wewe unasomeshwa wenzaio tumesoma kwa shida lkn tulisema haya nayo yatapita. tukagangamala, jeshi nikufunga buti macho mbele mita mia hakuna uzuri mpaka kieleweke, hata jamvi hili ikiwezekana usifungue mpaka jmosi au jpili.
chukua au uache kusoma sio hiari ni LAZIMA, japo husimamiwi kama primary au sec, jisimamie mwenyewe katika ugumu wowote, na wadada wasikuzingue wao wanaitwa wewe unaita,
Be careful
Nawasilisha.
 
Inapendeza sana kupata ushauri wa watu ambao wamepitia mambo magumu kama haya,nafurahi sana na asante sana kwa ushauri wako mkuu,heshima yako
 
R u sure your not in love??? maana bwana unapoanza kuwa in love na mtu unaweza kukosa mood na vitu vingi wakati mwingine hata hamu ya kula inaisha ghafla. kama sio jipe break na ukijisikia hivyo pumzika muda mwingi soma kidogo hivyohivyo mpaka hali utaona inarudi kawaida
 
Asante sana mkuu,...
Ila maswala ya "love" duh sijui kama yatakuja nichanganya hata kidogo
 
Hapana hiyo hali hata mimi wakati mwingine ilikuwa ina nitokea mitihani ikifika napoteza kabisa apetite ya kusoma cha kufanya uwa naudhuria discution au nakwenda mbali sehemu ninayo ipenda ilikuvuta mood kwanza
 
Nikishaona mood imekuja naadha kusoma lile somo ninalo lipenda ili kuvutia kasi haya mengine na nikishaona yamekuwa vizuri sasa ndio naadha kusoma yale mengine ambayo kwa kipndi hicho mood inakuwa imeisha anza kuja baada ya hapo na kuwa vizuri sana
 
Back
Top Bottom