Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
- Thread starter
- #21
Ni rahisi sana ukitaka kujirudisha kwenye mood ya kusoma,jaribu kutoka nje for evening or night walk hata kwa dk 15 tu,na utakapokuwa katika matembezi hayo jaribu kutofikiria chochote kuhusu kusoma na ujifikirishe na mambo mengine tu hata kama ni ya mapenzi ili kuihamisha akili na kuiwezesha kupumzika kwa muda.Kisha ukirudi ndani oga,na urudi kwenye kitabu utakuja kunipa majibu.Lakini nakutahadharisha tu kama unapoishi kuna vibaka ni bora usitoke usije kukabwa bure.
Oh,kumbe saa7 kasoro nilitaka kutoka kweli et!