ibrahim chisanga
Member
- Sep 27, 2015
- 83
- 15
Hi wanaJF
Kama kuna mwenye uelewa juu ya hili la mtoto akiamka analia basi naomba anijuze tafadhali
Kama kuna mwenye uelewa juu ya hili la mtoto akiamka analia basi naomba anijuze tafadhali
Ulitakiwa useme muda gani, umri wa mtt, Ni kila siku au??Hi wanaJF
Kama kuna mwenye uelewa juu ya hili la mtoto akiamka analia basi naomba anijuze tafadhali
4. Ameamka na ana njaa.... fungua hotelAnaashiria kitu fulani kati ya hivi
1. Anategemea kumuona mtu anayemjua pembeni yake akiamka...ikiwa tofauti lazima ahamaki hivyo kupelekea kulia
2. Amejisaidia na anahitaji msaada...watotot wengi waki~puu au kukojoa wanajisikia Hali tofauti hivyo hulia kuashiria anahitaji msaada wa kusafishwa
3. Homa za vipindi...mtoto akiwa na Homa Mara nyingi hupata ahueni akiwa usingizini hivyo usingizi ukiisha anaamka na anahisi Homa tena lazima atalia
Kwa ujumla mtoto hulia kuashiria jambo fulani ambalo ni tofauti na Hali ya kawaida kwake.
hata kama asingesema, asingeubadilisha ukweli. Hii pia huwa ni sababuHa ha ha, jamani mbona mnawatisha wazazi aisee!
Kweli mkuu akiainisha hivyo hata mimi naweza kumpa jibu...Ulitakiwa useme muda gani, umri wa mtt, Ni kila siku au??