Kwanini MSITU WA PANDE?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Si kipindi kirefu kilichopita tangu Msitu wa Pande utajwe kama sehemu ya kufanyia unyama.Wafanyabiashara watu waliuawa huko.Rejea kesi ailiyokuwa ikimkabili Kamanda Kombe.Ikadaiwa kuwa wafanyabiashara watatu wa madini waliburutwa hadi Msitu wa Pande na kupigwa risasi kama wanyama.Wakaaga dunia wakilengwa bila hatia wala huruma.Wakaishia hapo.

Juzi pia,Msitu wa Pande ukatajwa tena.Safari hii ukihusishwa na 'kutupwa' kwa Dr.Stephen Ulimboka baada ya mateso na kipigo kikali.Yaweza kudhaniwa kuwa hapo pia yalipangwa mauaji.Msitu wa Pande. Kuna nini Msitu wa Pande?
 
Ardhi yote Tanzania ni milki ya Serikali, hivyo Msitu wa PANDE ni mali ya Serikali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom