Kwanini movie nyingi za kibongo sio nzuri?

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,835
Mimi mpenzi sana wa kuangalia movie sijaelewa kama ni uzembe au hawajui. Movie nyingi za kibongo sio nzuri kabisa nikiangalia movie za nchi zingine ninaona kuna utofauti mkumbwa kabisa.
Hivi hawana vitendea kazi vyakueditia movie? unakuta stori zingine za kwenye movie yaani ni za hali ya chini kabisa nikimaanisha ukianza tu kuicheki unajua mwisho wake ni nini.

Erick Shigongo nadhani ana story nzuri sana je haziwezi kufanywa kuwa movie za series?
Ni mtazamo wangu tu katika kuboresha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom