Kwanini mliachana hebu tuambie

mara nyingi tumekuwa tunaachana lakini hatuambiani ni kwann tumeachana mda mwingine c sababu za msingi pengine tunaweza kujufuza kutokana na makosa hayo hebu tuambiane

umenikumbusha mbaaaaaali lol. . .! tulikua kama tumeumbwa fo eachother, we was magic! Lakin kumbe ni kama wasemavyo 'we just happen'!! ugomvi tu wakijinga ukatokea, hakuna alietaka kujishusha, kila mtu akachapa lapa upande wake. . .! Am countin year three sasa, lakin it feels like we parted jana. . . .
 
Kwa Afroie wangu, hata asiponiingiza mtegoni, najiingiza mwenyewe. Angalizo Neno "mtegoni" lisomeke kama lilivyo na neno "kujiingiza" lisitafsiriwe vinginevyo. Vinginevyo, ngoja nitafute contacts za PAW.

una maneno weye! Na huyo AD wako kanambia anaogopa kuachwa.
 
Haka kajukuu kakiwa kwenye siku zake za kwenda angani huwa sikaelewielewi..... ngoja nifanye unajimu kwanza.......

jamani mbavu zangu! Babu naomba niwe mjukuu wako ili na mimi unifanyie unajimu.Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom