Kwanini mliachana hebu tuambie

Eeeer?

Na hilo ndilo neno la ODM, Afrodenzi, come this way............

Tatizo nakuvunja mbavu afu unasahau kunigongea kaLIKE. si unajua ODM na kale ka LIKE ni sawa na CCM na Igunga?......come this way......

sasa na we Aspirin naona kweli umezeeka,yaani unaingia kwenye mtego wa AD hivi hivi?
 
Amin amin nakuapia, ODM hatakuacha tena kamwe.... atakuwa anakukagua kila mara uhitajipo huduma ya ukaguzi... ngoja babu akanunue mafuta ya masaji....

lakini babu Hata Yuda alisema hata muacha Yesu ... Nini kilibadilika??

Tatizo nakuvunja mbavu afu unasahau kunigongea kaLIKE. si unajua ODM na kale ka LIKE ni sawa na CCM na Igunga?......come this way......[/QUOTE]

hahahaahah haya babu
ngoja nirudi nyuma kufanya la nazifu "like"
 
MMU kumbe nayo ni sababu tosha?

hahahahahah lol
hiyo ndo sababu iliyo nijia kichwani..

lakini ukiingalia kwa undani zaidi wengi
huachwa au ku kuacha hayo mahusiano, mapenzi na urafiki
ya ki chachuka...
 
sasa na we Aspirin naona kweli umezeeka,yaani unaingia kwenye mtego wa AD hivi hivi?
Kwa Afroie wangu, hata asiponiingiza mtegoni, najiingiza mwenyewe. Angalizo Neno "mtegoni" lisomeke kama lilivyo na neno "kujiingiza" lisitafsiriwe vinginevyo. Vinginevyo, ngoja nitafute contacts za PAW.
 
babu naenda kuangalia kitanda cha Mugabe..
nsiporudi jua kuna mawili....
 
Back
Top Bottom