Kwanini mliachana hebu tuambie

ahsante kwa udadavuzi,wewe rugby mchezo wa kitasha,sisi wengine huku msasani mandazi road hobby yetu kucheza kiduku!

Nfundishe kiduku ..
ntakufundisha jinsi ya ku tackle..
hata kwenye ule mchezo unao fanana na rugby..:)
 
mara nyingi tumekuwa tunaachana lakini hatuambiani ni kwann tumeachana mda mwingine c sababu za msingi pengine tunaweza kujufuza kutokana na makosa hayo hebu tuambiane
Kila mtu ana sababu zake za kuachana na mwenzie, kama walivyokuwa na sababu za kupendana na kuwa wapenzi.
 
Kila mtu ana sababu zake za kuachana na mwenzie, kama walivyokuwa na sababu za kupendana na kuwa wapenzi.
Mto Mada ndo anataka kujua hizo sababu nini? Msaidieni mie sijawai kuacha wala kuachwa kawa hiyo sina sababu!
 
Back
Top Bottom