Sasa wewe hujui kuwa vyombo vya habari vimewachoka hamna habari? Subiri uchaguzi mdogo igungu ndio utaona matunda yenu wanannchi watakavyo wakataa, maendeleo hayapatikani kwa maandamano siri ya maendeleo ni umoja lakini kwasababu cdm kampuni ya watu wabinafsi hilo hawalioni, wamevaa miwani ya mbao.