kwanini mitandao ya simu inatupa shida kias hiki???

MZAWATA

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
556
95
siku za karibuni network zenu zimekuwa zikikata mara kwa mara na matokeo yake ni usumbufu mkubwa sana kwa wateja. mkirudisha net ndo matatizo yanazid sometimes kwan mnakuwa mmekata masalio yetu. TIGO na VODA mna tatizo gani????????????
 
Ni kweli ni usumbufu hadi inakera,tigo ndo kimeo kabisa nimeacha kuitumia mwezi wa 6 sasa,voda wanatia moyo,airtel wako vizur ingawa nao hupotea bt net haichelew kurudi.
 
Most of those companies QoS(Quality of service) yao iko chini sana its a shame
 
Ni kweli ni usumbufu hadi inakera,tigo ndo kimeo kabisa nimeacha kuitumia mwezi wa 6 sasa,voda wanatia moyo,airtel wako vizur ingawa nao hupotea bt net haichelew kurudi.

Voda ndo kimeo no 1 hamia airtel
 
...Matokeo ya Kuleta Mitumba ya Mitambo iliyokwisha tumika Kwingine. Ma Ofa Kibao lakini Circuit zile zile unategemea nini? Ni kama Kila siku Tunavyoingiza Maelfu ya magari Bandarini lakini Barabara ni zile zile toka Uhuru, Unategemea nini?? Foleni kwa Kwenda Mbele...!!
 
Kuna hawa wanaojiita TCRA sijui hata regulate kitu gani! Mitandao ya simu wametuwekea miundombinu mibovu ndiyo maana network zinakata kila wakati, TCRA haijawahi hata kutoa tamko wamekalia tu kujaza matumbo yao kwa kulipana mishahara mikubwa na maposho utadadhani nchi ni ya kwao peke yao. Nachukia sana unampigia mtu simu badala ya simu kuiita au kukupa msg kama haipatikani, wanakuwekea tangazo lao kwanza kwa dakika nzima ndiyo baadaye unajibiwa simu unayopiga haipatikani, pia kutuma ujumbe wa tangazo kwenye simu ya mtu bila ridhaa yake ni dharau kubwa sana ambapo TRCA walitakiwa wayaone haya na mengine mengi tuu na wachukue hatua. Nchi imegeuzwa shamba la bibi, hakuna kiongozi anayetimiza wajibu sasa kuanzia mkuu wa kaya mpaka mwenyekiti wa mtaa.
Mungu tusaidie 2015 tuikomboe nchi yetu kwenye mikono ya wanyang'au.
 
Back
Top Bottom