Kwanini Mishahara ya hawa Watu haiwekwi wazi tuijue?

Kennedy

JF-Expert Member
Dec 28, 2011
48,936
54,157
Wana jf ama kwahakika hali ya maisha kwasasa ngumu kuliko maelezo,kuna wakati najiuliza ugumu huu ni kwa wote au baadhi? Kuna wakati kama sasa Serikali imeongeza kima cha chini cha mshahara japo ni kama kiini macho kutokana na hali ilivyo ngumu sana. Je hawa viongozi wanalipwa kiasi gani? Rais,Makamu wa Rais,Waziri Mkuu,Jaji Mkuu,Mkurugenzi wa TISS,Mkurugenzi wa Takukuru,IGP,Kamishna Mkuu wa Magereza,Kamishna wa Uhamiaji,Mawaziri na wengine nisiowataja hii itasaidia nasi kujua hali hii ni kwa tanzania nzima au laa.......
 
Kuanzia milioni tatu na nusu 3.5 kwenda juu zidisha mara mbili mpaka boss mkuu ndio utapata kima chake ;zingatia uzito wa ofisi kumzidi mwenzie.
 
wenzetu ,kenya mishahara ya viongozi sio siri,inajulikana kabisaa,kwanza rais kias gani,makamu kiasi gani n.k
 
Best mbona mshahara wa 'Bama tunaujua au wa kwake hauna sababu za kiintelijensia za kuuficha?

You are very right, kwake hakuna sababu za kuuficha. Huku issue ni kwa wananchi wako desperate, gap ni mouth gaping na umiliki binafsi wa wahusika haulingani na kipato hata uvute kwa kamba!
 
Hili swali nimeliluliza hapa hapa JF miaka 5 iliyopita na hakuna anayejua.

Na cha kusitikitisha zaidi kuna watu wanaona kuwa ni sawa kabisa kutokujua mshahara wa rais kwa sababu kwa kawaida mshahara huwa ni siri.
 
Back
Top Bottom