Kwanini Mikoa yetu haiendelei kiuchumi?

Kwa twakimu hizo juu, kwa wastani mkazi mmoja wa Dar Es Salaam anapata shilling 150,000 Kwa mwezi. Ukichukua inflation na matumizi, hakuna sababu watu wasiwe wezi.

Mkuu Zakumi sijapata picha kwa mkoa ambao per capital income ya raia ni chini ya laki 5!
Maana yake kwa mwezi ni kama 40,000 ambayo roughly ni sh. 1300 kwa siku!
Na hii per capital income imekuwa calculated in such a way mtu kama Rostam na maskini kabisa wanakuwa assumed kuwa sawa kiuchumi!
Hali ya umaskini katika nchi yetu,hasa vijijini,ni mbaya kuliko tunavyo fikiri!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom