Kwanini mbunge aendelee kushikiria kiti cha ubunge baada ya kupatikana na jinai?

Papa D

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
753
182
Jamani tujadilini huu mkanganyiko.
Mbunge wa mbalali alipatikana na kosa la jinai. Hatua hiyo ilipelekea ahukumiwe kwenda jela au kulipa faini ya shillingi laki tano. hadi sasa anaendelea kushikilia cheo chake cha Ubunge.
Na kwamba; endapo mtumishi wa umma atapatikana na kosa/hatia ya jinai, sheria ya kazi pamoja na standing order zinaelekeza afukuzwe kazi.
Je, kwa nini mbunge aendelee na Ubunge wake baada ya kupatikana na hatia?
 
hiyo sheria itakuja kudadavvliwa pindi mbunge wa chadema ndie atakae patwa na issue kama hiyo.alakini kwa magamba usitegemee kitu kama hicho.
 
...endapo mtumishi wa umma atapatikana na kosa/hatia ya jinai, sheria ya kazi pamoja na standing order zinaelekeza afukuzwe kazi.
Bandika hicho kifungu cha sheria na standing order hapa tukisome baba...

halafu tujadili
 
Back
Top Bottom