Kwanini Makao Makuu ya CHADEMA hakuna picha ya Rais wa nchi?

Mkuu, unaweza kunisaidia mie pamoja na wana JF wengine.

Uongozi wa Chadema walivyokwenda Ikulu walikwenda kuonana na nani?

Kuonana na LAWFUL PRESIDENT sio LEGITIMATE PRESIDENT. Ishu ya kuweka picha officin its depend on ACCEPTIBILITY YA MTU, tena kwa office kama ya CDM uctegemee bt kwa public bureaucracies and enterprises ni Lazina coz of NEUTRALITY PRINCIPLE!
 
...CHADEMA hawafungamani na ufisadi. Watawezaje kuweka picha za JK huku akiwa amevaa suti za kuhongwa kifisadi na Waarabu kwa kuwapa Kilimanjaro hotel?
 
Niumeona pale buguruni ofisi za chama cha wananchi wameweka picha ya Bin Laden na wafuga midevu wengine wengi
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu
chadema hatuweki picha ya mafisadi kama inakukela nenda mahakamani.
 
Mkuu, unaweza kunisaidia mie pamoja na wana JF wengine.

Uongozi wa Chadema walivyokwenda Ikulu walikwenda kuonana na nani?

Na mtu anayeishi ikulu! Umeridhika? Angekuwa Rais angewasikiliza na kuweka muda wa kutafakari kwa mustakabali wa Taifa. Wanatoka naye anasaini bila kujua hawa watu wanawakilisha wananchi.
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

hata chumba chako cha kulala ni ofisi, chukua nyingi zibandike humo chumbani kwako ili ziwakilishe zile zilizokosekana ktk ofisi ya chadema.

Nenda ktk ofisi za serikali ya ujerumani kama utaona hata picha moja ya Hitler ukutani!
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

kwani nyerere si ndiye rais wa tanzania!
 
Jibu sahihi: kuweka picha hizo mbili ya nyerere na kikwete ni matakwa tuu ya kiofisi lakin sio lazima kuweka kwan sio sheria. Hivyo bas matakwa ya chadema hayako kwa kikwete yako kwa nyerere ndo maana picha ya nyerere ipo ya kikwete haipo.
 
Hv Dr. Slaa anaoa lini, au ndo mpaka aingie mjengoni (nasikiaga wanasema no money no honey)
 
Picha yenyewe kwa kutengeneza deal inauzwaTsh 50,000/+ sasa CDM wapoteze fedha hizo kuweka picha am ambayo haina impact yeyote, na ndio maana hata USA wanapicha ya rais wa kwanza kwenye fedha yao.
 
Great Thinkers..

Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.

Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.

Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.

Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu

Ovyoooooooo
 
Back
Top Bottom