Hata mimi ofisi yangu kubwa tu na hakunaga picha ya jk
Mleta mada umetembelea makao makuu ya vyama vingine ikaona wameweka picha ya JK?
Kama hujafanya hivyo ni makosa sana kuleta uzi bila kuwa na ushahidi wa kutosha maana hii siyo tetesi.
Great Thinkers..
Siku za karibuni nilipata nafasi ya kutembelea Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni Mtaa wa Ufipa.
Kitu cha kushangaza kama kawaida za ofisi kuna picha mbili ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete.
Ofisi za Chadema hakuna picha ya Rais Kikwete, kuna picha ya Nyerere tu.
Chadema, Rais Kikwete ni Rais wa Tanzania wekeni picha ya Rais ukutani ndani ya ofisi zenu
hakunaga = hakuna

Afadhali umejitambulisha wewe ni nani na unashughulika na nini...Hawawezi kuweka zaidi ya picha ya mt. nyerere hapo wewe..hujui nini sasa hapo..wako kikan zaid..
KICHEFUCHEFU kitawatapisha
Wewe una vyama viwili?Hao chadema hawataki amani. Wamezoea fujo. Sisi kwetu cuf na nccr hatutaki makuu. Picha ya rais lazma iwepo kwenye ofisi ya mkiti
Kuna bar moja nilikuta picha ya JK wameiweka chooni, tena ile anayobembea Jamaica.