Kwanini Makamba na wanaye wanapenda kujionyesha na kujitangaza?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Kwetu sisi watoto wa wakulima tukisema, tunaambiwa tunatafuta umaarufu. Lakini kwa Familia Bora, ya Mboga saba, ambao ndio watakaoongoza tangaznia hati Yesu Arudi, Familia ya Yusuf Makamba na wanae, ni sawa tu.

Mzee makamba, mwanaye January na Mwamvita wanatafuta media exposure kwa nguvu zote. January anajishusha hadhi kwa kuja na kila aina ya story yake humu ndani ya JF, hadi kujiita Obama. Mbona asijiite January Makamba, kwani mpaka ajiite Obama?

Mwamvita naye, kila kukicha yuko kwenye blogs, redio, na magazetini. Kila party ya visichana vidogo vidogo yupo. Hata kazi ambazo zingefanywa na wasaidizi wake, yeye yumo.

Jamani siyo chuki, napenda tu kuuliza, hivi bila Makamba Tanzania inawezekana kweli?
 
Kwetu sisi watoto wa wakulima tukisema, tunaambiwa tunatafuta umaarufu. Lakini kwa Makamba na wanae, ni sawa tu? Mzee makamba, mwanaye January na Mwamvita wanatafuta media exposure kwa nguvu zote. January anajishusha hadhi kwa kuja na kila aina ya story yake humu ndani ya JF, hadi kujiita Obama. Mbona asijiite January Makamba, kwani mpaka ajiite Obama? Mwamvita naye, kila kukicha yuko kwenye blogs, redio, na magazetini. Kila party ya visichana vidogo vidogo yupo wakati ni mke wa mtu. hata kazi ambazo zingefanywa na wasaidizi wake, yeye yumo. Jamani siyo chuki, napenda tu kuuliza, hivi bila makamba tnzania inawezekana kweli?

Huu ni umbeya na ujinga.. Nukta
 
Machafuko Tanzania yataletwa na familia ya Makamba. Huyu mtu na wanaye viherehere hawafai...hasa January dalali wa mafisadi
 
Siku hizi January amekuwa yeye kama waziri wa nishati kila sehemu yupo ni ulimbukeni, wapambe wake nao kila leo wanatuletea thread za kumpamba mara obama mara rais ajaye wakati hata ubunge wake ni wa sandakalawe, the good thing is muda wa kutegemea wadhifa wa wazazi umekaribia ukingoni kila mtu ataingia kazi kwa merits zake si kwa kubebwa kama kina Mwamvita eti CEO.
 
Honestly mimi mpaka sasa hivi sijaona kosa la January Makamba. Naona ni kijana yuko focused and straight forward. I am impressed the way he acts on power blackout scenario in the country. He is trying to put strategies and find the HOW.

Lets give him a chance and dont try to dsqualify him basing on his Daddy's credibility, accountability and performance.

Mwanvita - None of our business for whatever move she is taking - No interests at all with Tanzanians life.
 
Ni criminals hao na tukimaliza mapinduzi tutaona kama mwezi huu watakuwepo Tanzania. Qatar safari na Kikwete...
 
Siku hizi January amekuwa yeye kama waziri wa nishati kila sehemu yupo ni ulimbukeni, wapambe wake nao kila leo wanatuletea thread za kumpamba mara obama mara rais ajaye wakati hata ubunge wake ni wa sandakalawe, the good thing is muda wa kutegemea wadhifa wa wazazi umekaribia ukingoni kila mtu ataingia kazi kwa merits zake si kwa kubebwa kama kina Mwamvita eti CEO.

Hivi Mwavita ni CEO? Wa kampuni gani? Vodacom au? Km Vodacom sitashangaa maana RA ana hisa nyingi pale! Naomba mnijuze vizuri?
 
Familia kama hizi zinakaribia kuanguka kwani Familia ya Zine Abidine Ben Ally wa Tunisia si imeanza kuishi kwenye comma huku RSA. Wakati umekaribia wa hawa wanorithishana uchumi wetu kukimbia kwani nguvu ya wananchi itawaangusha. Hakuna nchi zimeendelea na kuwa na dola zenye nguvu kama Maghreb Tunisia,Libya na Egypt lakini wananchi wameamua na wanajiletea mabadiliko. Mwamvita, january, baba kwani hakuna watanzania wengine wanaweza kushika hizi nafasi hayo ndiyo yanayomtokea puani Mubarak.
 
Kwa hakika viongozi wetu wameshalifanya taifa la Tanzania kama mali yao. Mzee Yusuf Makamba na wanae wanajiona kama ndio wenye nchi. January anajiona kama ndiye Rais na Waziri wa Nishati..... Cha ajabu ni bintiye mzee makamba wa Vodacom Mwamvitta Makamba, aliyehonga hela Millioni 5 kwa Irene Kiwia na Nancy Sumari wa Frontline management ili apewe tuzo la Woman of the Year. Inasemekana Mwamvitta alionga hizo hela kwenye party Runnway, na matokeo yake kumshinda mwele malecela katika kinyang'anyiro hicho... kama mambo ndo haya tanzania inaelekea wapi na hawa watoto wa wakina makamba na wakubwa wengine wasio na adabu katika jamii

Tukijakidili kwa undani kidogo, ni kiyu gani kizuri Mwamvitta ameifanyia taifa la kitanzania? huyu dada ni mwakilishi tu wa Vodacom anayegawa sukari, madawati na mchele kwenye shule. kazi ambayo mtu yeyote engefanya. inakuwaje wakina mama wanabadilisha sura ya nchi kwa kutetea haki za wanawake, wanyimwe tuzo kama hizo, wanawake wanaohatarisha maisha yao wa TAMWA wananyimwa na mdada ambaye kila kukicha yuko twanga pepeta na kwenye mitandao apewe tuzo kwa sababu kahonga?
 
siku yao ya hukumu inakuja.... hata na mie hizo taarifa nilizisikia kwamba mwamvita alitoa rushwa ili apewe tuzo. too low for her. hivi huy alipewaje nafasi pale vodacom? kuna watu kibao wenye uwezo, iweje muuza sura kwenye blogs na ma media ndo apewe tuzo, dr. mwele kafanyiwa hujuma...huyu mwamvita inabdi akue kidogo, ana utoto na ulimbukeni mwingi. mttoto wa makamba ni mtoto wa makamba tu,
 
Kwetu sisi watoto wa wakulima tukisema, tunaambiwa tunatafuta umaarufu. Lakini kwa Familia Bora, ya Mboga saba, ambao ndio watakaoongoza tangaznia hati Yesu Arudi, Familia ya Yusuf Makamba na wanae, ni sawa tu.

Mzee makamba, mwanaye January na Mwamvita wanatafuta media exposure kwa nguvu zote. January anajishusha hadhi kwa kuja na kila aina ya story yake humu ndani ya JF, hadi kujiita Obama. Mbona asijiite January Makamba, kwani mpaka ajiite Obama?

Mwamvita naye, kila kukicha yuko kwenye blogs, redio, na magazetini. Kila party ya visichana vidogo vidogo yupo. Hata kazi ambazo zingefanywa na wasaidizi wake, yeye yumo.

Jamani siyo chuki, napenda tu kuuliza, hivi bila Makamba Tanzania inawezekana kweli?

Acha ushambenga , chuki na kuanzisha thread za maji taka hapa. Kama ni kujiita majina kunawatu wanajiita majina ya ajabu tu humu ndani lkn hujawaona......hakuna anaye katazwa kwenda kwenye media, na kama media zina wafata wafanyeje.....binafsi simpendi Makamba kiutendaji not personally .......lakini hili lisiamie kwa watoto bila sababu ya msingi.....
 
Mdharau mwiba umchoma; hao vijana wako kazini ili kuhakikisha JK anapokezana urais na EL ili familia yao iendelee kupeta
 
Back
Top Bottom