Kwanini Mahujaji walipendelewa na Kikwete?

serikali ya kikwete imetumia dola milioni 4 za hazina kushughulikia suala la mahujaji ikiwemo kuwakodia ndege..wakati pesaa waliyotoa nauli mahujaji..dola 1.7 millioni ..imeliwa kitapeli..

sasa wengine mnaweza mkaona ni sawa serikali kugharamia safari ambayo watendaji wa ATC walishamuambia mwenyekiti wao kuwa hawaziwezi kwa sasa..na sababu kuu ni wazi kuwa bado hawana ndege za kutosha ..yeye akaleta uswahili na tamaa ,kujuana kulazimisha biashara...yote haya yamefanyika na bado huyo nyanganyi yupo ofisini....
 
Gamba la Nyoka, hakuna kitu kibaya kama kuweka maneno kwenye kinywa cha mtu, ningetaka kusema ulichosema wewe ningekisema...! sasa hayo yote ni ya kwako. Nilichokisema kila mtu anaweza kukisoma...
 
Serikali ilitimiza wajibu wake kwa waislam, naona mtoa mada asichokijua ni kuwa katoka mahujaji 300 kuna mahujaji 100 wanaogharamiwa na serikali kila mwaka, ati kuonesha uzawa na uzalindo mlipa gharama akashinikiza ATCL chovu ndiyo iwapeleke mahujaji. Acheni kumlaumu nyanganyi.
 
Hiyo makala ilitoka jana kwenye Tanzania Daima. Nimepata email kadhaa kuhusiana na makala hiyo. Mojawapo ni hii ambayo bila ya shaka ilitakiwa iwe public kwani ilitumwa pia kwa Tanzania Daima.


Forwarded Conversation
Subject: KWA NINI WAKRISTO WANAPENDELEWA?
------------------------

From: Tanzania Journalists <tanzaniajournalists@yahoo.co.uk>
To: mwanakijiji@klhnews.com, mpayukaji@yahoo.com, tzdaima@freemedia.co.tz
Date: Thu, Jan 17, 2008 at 9:51 AM
Kwa nini serikali inawapendelea Makafiri kuliko Waislamu nchini Tanzania?

Nimeisoma makala yako iliyo chapishwa ndani ya gazeti la Tanzania Daima, toleo na. 1139 la tarehe 16 Januari, 2008 yenye kichwa cha habari: "KWA NINI SERIKALI IMEWAPENDELEA MAHUJAJI ( WAISLAMU)? ukurasa wa 10.

Niseme kwamba makala hiyo was highly offensive not only to President Kikwete, but to Muslims in Tanzania in particular and Muslims all over the world at large and should be dealt in the manner appropriately.

Huu ni udini, chuki na chokochoko ambazo makafiri wamekuwa wakizionesha dhahiri kwa Waislamu na Uislamu hapa nchini kwa muda mrefu.

Mahujaji walistahiki na wataendelea kupewa kila namna ya msaada unaohitajika ili waende Mecca na Medinah kutekeleza nguzo hii muhimu kwa dini yao.

Chuki za Wakristo na Mapagani haziwezi kufua dafu kwa Waislamu na kama mnataka mapambano, Waislamu tuko tayari kwa hilo, fanyeni fyoko muone cha mtema kuni.

Kwa muda mrefu gazeti hili limekuwa likiandika mambo ya kuwaudhi Waislamu.

Mbona hamuandiki yale serikali hii hii inavyowanyongesha Waislamu?

Nafasi nyeti zote serikalini zimechukuliwa na Makafiri wenye magovi, mbona Waislamu hawasemi kitu, ila suala la Mahujaji mnalivalia njuga, vipi nyie, mmetumwa na mabwana zenu nini?

Wakristo mmekuja juu kuhusu masuala yanayo wagusa Waislamu, km. Mahakama ya Kadhi, OIC, mabucha ya nguruwe, vilabu vya pombe na madanguro ya uzinzi na wanawake kwenda uchi; nk.

Hivi Waislamu wa Tanzania hawawezi kuendesha mambo yao hadi hapo Wakristo watakapo penda, siyo?

Eleweni kuwa Uislamu ni dini yenye mfumo kamili unaojitegemea, hautaki kuingiliwa na makafiri au watawala.

Angalieni chokochoko hizi zitatupeleka pabaya kusiko takiwa.

Angalieni mfano wa huko Iraq , Afghanistan, Kosovo, Chechnea na kwingine kwingi.

Tusipojenga ufa sasa tutajenga ukuta.

Acheni Waislamu wakafanya ibada zao bila kuingiliwa na washenzi kama ninyi.

Mbona Ubalozi wa Vatican upo hapa, ni kwa maslahi ya nani?

Mashule na mahospitali ya Wakristo yanafadhiliwa na pesa za serikali, Waislamu wanafaidika na nini?

Mkiendelea na mwendo wenu kuandika vibaya mambo ya Waislamu mtajuta, acheni ushenzi wenu.

Kaaaaazi kweli kweli, hivi kweli jumuia za kiislam hazina wasomi wanaoweza kujibu hoja?, mfano mtu anasisitiza kabisa kuwa ni haki waislam kusaidiwa kwa fedha ya serikali so na fedha za makafiri wenye magovi ziwasaidie kutimiza ibada zao? Na bado anadhani kuwa uislam una nguzo thabiti?!, hajui kuwa waislma wanasomeshwa katika shule za makafiri, wenye magovi, wauza pombe?!, hivi kweli waislam wanataka kutumia fedha ya uma kwa nguvu kwasababu wanadhani makafiri nao wanafaodika, hizo nafasi nyeti zilizoshikiliwa na makafiri ni zipi?, hivi hawa wafuatao ni makafiri?: chief of defence forces, chief of staff- TPDF, vice president, min of finance, min of health et al, hivi wanajua kuwa munawaita wale waliwateua kuwa munawaita makafiri. Ndo maana mutazidi kushindwa kujiendesha.
 
Back
Top Bottom