Kwanini magazeti haya yananunuriwa na kupendwa?

Nadhani hamjafanya utafiti wa kutosha kuhusu haya magzeti. Nadhani tuna makundi mawili ya watu katika uteja wa magazeti; Kundi moja ambalo ni la watu wachache, wasomi na wachambuzi yakinifu hununua aina ya magazeti tajwa hapo juu, but the rest of the people wananunua magazeti ya Shigongo na hawa ni wengi sana bila kujali itikadi zao za vyama, haya magazeti ya Shigongo yana Udaku, umbeya na zaidi huzungumzia personal life za watu wanaoitwa mastaa hapa Bongo ingawa sijui kama kweli ni mastaa
 
:ranger:


MKIBUNGA NAONA NA WW UMEKOSA UMAKINI KTK HILI MKUU. MWENYE THREAD KASEMA KATI YA WATZ MAKINI 3 WANAOSOMA MAGAZETI BASI 2 WATAKUA WANASOMA HAYO ALIYOYATAJA. SO, IT IS 2 OUT OF 3 AND NOT 3 OUT OF 5! HOPE NEXT TIME UTAKUWA MAKINI SANA PALE UNAPOTAKA KUMKOSOA ALIYE MAKINI KIASI.
hapo paul nilipitiwa kwani nilikuwa na haraka i'm so sorry and thanks

Hapo
 
Magazeti yanayoongoza kwa kuchapisha nakala nyingi na kuuza zaidi ni haya magazeti pendwa watu wanaita udaku ila tofauti yake ni kwamba mengi hayatoki kila siku kama ilivyo tanzania daima na mwananchi - lakini ndio yanaongoza kwa mauzo mfano toleo la risasi la wiki jana jumanne limeuza mara mbili ya ile ya mwananchi
 
Back
Top Bottom