Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,428
- 1,050
Ndg zangu wanajamvi wenzangu hebu tujadili hili suala, najiuliza ni kwanini Magari anayotumia Mh.Rais yamepata hitilafu wakati huu kama ambavyo tumesikia matukio mfululizo katika Media, tukio la Dsm na Moshi. kwa kweli ni matukio ambayo hayajazoeleka katika masikio na macho ya watanzania. najiuliza kuna nini kinaendelea mpaka Gari la Rais lipate hitilafu. Tujadili