Kwanini mafao kidogo NSSF, PPF kuliko PSPF na LAGF?

na ukianza na mkataba mpya ukajiunga na mfuko mwingine mafao yalio katika mfuko uliouacha unaruhusiwa kutoa au inakuwaje hapo

Unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote na kuachana nao na kujiunga na mfuko mwingine kuanza upya
 
na ukianza na mkataba mpya ukajiunga na mfuko mwingine mafao yalio katika mfuko uliouacha unaruhusiwa kutoa au inakuwaje hapo
Unaruhusiwa kuzitoa na kuzitumia, lakini sio kuhamishia michango mfuko mwengine. Huko kwa mfuko mpya ni lazima ukaanze upya
 
Back
Top Bottom