Kwanini Maelezo ya Kuthibitisha uwongo wa Waziri fulani hayasomwi Bungeni?

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Jamani labda mimi ni mkereketwa sana au ni mdadisi sana Lakini kwa hili naomba Balaa la kufutiwa Post hii isinikute,
Nataka kajibu ya Swali langu hapo juu,

Sija wahi sikia Muheshimiwa Zotto Kabwe ameambiwa akaandike Maelezo ya Kuthibitisha Kuwa Waziri fulani ni muongo then uthibitisho huo ukasomwa bungeni mbele ya wabunge na Mawaziri ili iwe Fundisho kwa mawaziri wote na Pia Watanzania wajue uchafu ambao Mawazili na wabunge wao wanaufanya kinyume na kazi iliyo wapeleka?

Hii inanitatanisha sana kuwa Spika anawalinda sana wabadhilifu na wezi wa pesa za kitanzania na Waongo wa maendelea maneno na si utendaji katika bunge letu Kwa maana hiyo Hatufai!!!!
 
Jibu ni moja tu. Kuliko waziri aadhirike mbele za watu, ni bora tu aaadhirike mbele ya Spika peke yake. Mh. Lema mpaka leo anasisitiza kuutoa ushahidi wake lakin spika anamkatalia kwa kuogopa kumudhiri nanii
 
Hehehehehe Kwasababu Siasa ya nchi hii ipo juu ya sheria
 
Mishahara na Maelezo ya uthibitisho vinafanana Mr Maralia Sugu?
 
Mishahara na Maelezo ya uthibitisho vinafanana Mr Maralia Sugu?
 
Kwanini mshahara wa mwenyekiti wa cdm hautaji hadharani? Kama kila kitu hadaharani tu

Si uanze kutaja na wa kwako!au wa kikwete?

Mbona unachanganya mambo? Hapo ni kwamba mtu aliambiwa hadharani kuwa adhibitishe....ndiyo maana itakuwa sahihii adhibitishe hadharani ili naye asiendelee kuonekana mzushi mbele ya wapiga kura wake na watanzania kwa ujumla.
 
Rugas umeongea kwa upole, Busara, na kwaumakini kama Nyerere alivyo kuwa akifuatilia Uhuru wa Tanzania, Lakini sasa Hawa watumwa wanao fananisha mishahara na uthibitisho bungeni wanamatatizo na wapo nyima kimaendeleo.. nahis hawa si Watanzania
 
Hello
Hii inatufanya waTanzania tuzidi kudidimia ki maendeleo bwana
 
Back
Top Bottom