Kwanini Mabint nao huitana hivi..!

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,137
22,709
..kicheche..
..mcharuko yule..
..mwizi tu yule.. etc

Tofauti sana na kwetu.. Nahisi kama Wanaume twaheshimiana..
 
Acha uzushi wewe. . .

Wanaume wangapi wanaita wenzao viwembe mara vipanga, choko na mengine mengi tu?
 
Wewe utakuwa Guberi..khaa! wanaume mna majina kibao mara f.a.l.a, kima, chapombe nk..
 
nachoshindwa kuelewa ni kama mtu ni mcharuko alitakiwa aitwe nani?? manake wapo wasichana wanaita wenzao majina mazuri tu kwa kuwa wanastahili hivyo.....kutomuita mtu jina fulani analostahili hakumaanishi unamheshimu sana....mtu huheshimiwa kwa matendo yake na si vinginevyo!
 
truth be told..!

Which truth? That uzushi of yours?

Watu kuitana majina hakutokani na jinsia, kunatokana na tabia zao, insecurity zao na matatizo yao, maugomvi yao n.k. Madai kama yako hua yananichosha sana. . .utasikia 'wanawake hawapendani' utadhani wanaume wote wanapendana. Ndugu tu wapo wasiopendana sembuse watu wa jinsia moja?
 
hayo majina cye hatuitani na kuropoka mtaani kama mfanyavyo nyie..

bado ni mtaani kwenu umesikia hayo majina ya kike..Mimi huita marafiki zangu shostiz, dadaz, mumies, dears nk..hiyo micharuko ina maana yake tofauti! imekaa kishari..halafu kicheche nyie wanaume ndiyo mnapenda kulitumia mkimsema mwanamke.
 
Which truth? That uzushi of yours?

Watu kuitana majina hakutokani na jinsia, kunatokana na tabia zao, insecurity zao na matatizo yao, maugomvi yao n.k. Madai kama yako hua yananichosha sana. . .utasikia 'wanawake hawapendani' utadhani wanaume wote wanapendana. Ndugu tu wapo wasiopendana sembuse watu wa jinsia moja?

soma tena heading.. Upande gani ni hatari kuliko mwingne.... Kuchafuana!
 
Heading sio kitu, ndio maana za magazeti ya udaku hua tofauti na kile ambacho ndicho. Kwenye content umetetea kwamba nyie mnaheshimiana. . .utafiti/uchunguzi wako ulifanya kwa wanaune na wanawake wangapi mpaka ukapata huo uwiano unaoonyesha nyie mnaheshimiana zaidi ya wanawake?
 
Which truth? That uzushi of yours?

Watu kuitana majina hakutokani na jinsia, kunatokana na tabia zao, insecurity zao na matatizo yao, maugomvi yao n.k. Madai kama yako hua yananichosha sana. . .utasikia 'wanawake hawapendani' utadhani wanaume wote wanapendana. Ndugu tu wapo wasiopendana sembuse watu wa jinsia moja?

facts.
 
Heading sio kitu, ndio maana za magazeti ya udaku hua tofauti na kile ambacho ndicho. Kwenye content umetetea kwamba nyie mnaheshimiana. . .utafiti/uchunguzi wako ulifanya kwa wanaune na wanawake wangapi mpaka ukapata huo uwiano unaoonyesha nyie mnaheshimiana zaidi ya wanawake?

hujanijibu swal langu.. Au kwa vile cjaweka.. Alama ya kiulizo.
 
Post zangu zina majibu ya swali lako. . .ila naweza nikarudia tena kua jinsia zote zina watu wanaodharau wenzao wa jinsia moja, na hicho ndicho kitu ambacho ni cha uhakika. Mambo ya nani zaidi siwezi kujua maana sijawahi anzisha mashindano. Sasa jibu kuhusu huo uchunguzi/utafiti wako ili nielewe madai yako yako yanapotokea.
 
Back
Top Bottom