watu8 kwanza sijasema place nmesewa plane (ukiweza goole 'seven body' na 'seven plane' itakusaidia kuelewa!
najua umesema plane mkuu, maana yako unaongelea mtu huenda dimension nyingine...hilo neno place lisikuchanganye
mathematically plane na place inaelezea kitu kile kile, a place could simply refer a particular point in a certain plane(dimension).
kumbe huko kuna hotel za kitalii.
kwa kuwa we umekua wa mwanzo kunijibu, nieleze wafu huenda kupumzika wapi?
we madam wewe thats why i like you.Wanaenda kupumzika Babylon kula tunda la mti wa katikati.
sasa ndo mtufafanulie msipofafanua tunatoa tafsiri zetu wenyewe kama hivi.Kumbe pa kupumzikia huwa ni hotelini tu eeh?......ila hapa sina hakika kama tunaongelea kupumzika unakokufikiria wewe philipo kidwanga
Mtu akishakufa kinachobaki ni kumwombea ili apate pumziko la milele huko aendako!
Mabaya yake ataenda kuyakuta mbele ya safari, hata ukiyasema wakati ashakufa itasaidia nini?
Wanaenda kupumzika Babylon kula tunda la mti wa katikati.
Khaa!
We SL kumbe una maakili kihivi !
Ingekua sijananii, ningekunanihii !
Nway mtaani kwenu tume ya Waliyoba (Warioba) ishapita?
Watu kama wewe au KIPIPI au KING'ASTI msipotia mawazo yenu tume itarudi na hasara .
we madam wewe thats why i like you.
Goole basi ili twende pamoja
why should I google jaman na wewe una majibu yote, unajua the reason i asked ni kuwa I was expecting supporting answers from you defending ur facts...
anyway to make things short nitagoogle basi...
we madam wewe thats why i like you.
haya bhanaa nilikua sijui kama Babylon ndio kuna mti wa katikati wenye tunda(sio matunda).