Kwanini ma SUPA STAA wanakufa vifo vya ajabuajabu?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,833
155,781
Sio Tanzania bali duniani kote vifo vya mastaa mara nyingi ni vya ghafla sana.
Complex na Vivian walikufa kwenye ajali,
James Dandu alikufa kwenye ajali,
Whitney Houston kifo chake ni utata mtupu hadi sasa,
JOhn Mjema,
Michael Jackson,
2pac & Big...fulll utata
Kanumba.....utata mtupu,
Bruce Lee... mizengwe na magirini kibao.
Je kuna nini nyuma ya mapazia? Au kwa mafanikio yao wamemuona MUNGU kuwa hawashindi kwa lolote wala chochote?
 
We are responsible for our fates by the choises we make...ukichagua kubwia unga autmatically utakufa unabwia,. Ukichagua ulabu au uzinzi utafia huko.. Ukichagua jeshi utafia vitani.. Hata nzi hufia kwenye kidonda.. Mbu hufa akifyonza damu..usiwaze sana hayo ndo maisha aliyochagua na ndiko alikofia..
 
sababu wanajulikana tunafuatilia sana.

Ukichukua ratio ya waliokufa kwa maajabu na walokufa kwa kuugua, bado naona walokufa kwa kuugua ni wengi.
 
Haya mambo ya kusema freemasons kuna siku tutasema JF NI YA FREEMASONS
 
kwa Michael Jackson hata mimi naweza kuleta ushahidi....ni ukweli usiopingika hao jamaa walimuwahi....wengine sina uhakika.....
Dah Huyu wetu ndio naona wazo jamaa wamempa kitu faster lol
Waliobaki wajipange....hawa Free nanii hawana lolote zaidi ya kuwapoteza kiroho tu utajiri upo tu
 
Sina hakika but ni kwa vile taarifa zao zinafuatiliwa zaidi, amini kwamba wako wengi sana wanaokufa katika mazingira ya kutatanisha lakini taarifa zao hatuzipati kwa kuwa hatuwajui, wengi wakufa kwa ajali, wengine wanalala asubuhi wanakutwa marehemu, wengine wanauawa kikatili lakini sababu hazifuatiliwi nk. So tusishangae aina za vifo vya masupasta its just because we are making follow up!
 
Back
Top Bottom