Kwanini Kutema mate baada ya haja ndogo?

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Kwa muda mrefu sasa nimeona watu wengi kila baada ya kumaliza haja ndogo hutema mate kwenye mkojo wake. Hii hutokea mara nyingi kwenye public toilets (kwa sisi wanaume), porini (saa ya kuchimba dawa safarini) hata pembezoni mwa kuta.

Hivi nini chanzo cha hii tabia?
 
Sina uhakika na utafiti wako! Hapa ofisini kwetu kuna vyoo ambavyo vinatumiwa na watumishi lakini sijaona wakitema mate! Sana sana, tabia hiyo ninaiona kwenye vyoo vya kwenye bar/klabu za pombe ambavyo vina harufu kali kutokana na kutotunzwa vizuri!
 
Back
Top Bottom