Kwanini KUTAJA ni ISSUE?

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Nini kinachotisha zaidi ya Mungu? Nini kinachokwamisha au kuwezesha zaidi ya Mungu? Binadamu si kitu.Hatupaswi kuogopana. Issue ndogo tu ya kutaja majina ya Wa-Zitto waliopokea rushwa ndio itupelekeshe namna hii? Acheni ujinga jamani.Spika,hakikisha unataja majina.Utavunjaje Kamati bila ya kututajia majina ya wachafuzi wa Kamati iliyovunjwa? Umetumia 'intelijensia' tu?

Nawe Mbatia,kama unawajua wataje. Kufichafcha kunatuharibia mambo mengi sana. Sisi vyama vyote tumejiandaa kuwashughulikia watakaotajwa. Watajeni au nyamazeni kabisa milele.Tumechoka unafiki.
 
hahaha... Mimi Mbatia nakubali Mungu anatisha zaidi ila ana huruma kuliko hawa wahusika... Wakini nanilihuu utakuwepo wewe? zaidi tu utaleta habari zangu hapa na kujadili hali niko katika sanduku la pembe 4 au kama nina bahati nitakuwa kule kwa Madiba kutibiwa. Hebu nijipange kwanza nisikurupuke..
 
Nini kinachotisha zaidi ya Mungu? Nini kinachokwamisha au kuwezesha zaidi ya Mungu? Binadamu si kitu.Hatupaswi kuogopana. Issue ndogo tu ya kutaja majina ya Wa-Zitto waliopokea rushwa ndio itupelekeshe namna hii? Acheni ujinga jamani.Spika,hakikisha unataja majina.Utavunjaje Kamati bila ya kututajia majina ya wachafuzi wa Kamati iliyovunjwa? Umetumia 'intelijensia' tu?

Nawe Mbatia,kama unawajua wataje. Kufichafcha kunatuharibia mambo mengi sana. Sisi vyama vyote tumejiandaa kuwashughulikia watakaotajwa. Watajeni au nyamazeni kabisa milele.Tumechoka unafiki.

Naanza mimi kuwataja:
Waziri kivuli, Wizara ya Nishati Madini.
Unaweza kuendeleza
 
Jamani japo kiduchu tu, kwa mwenye taarifa atujuze juu ya hao wabunge wala rushwa waliosababisha kamati ya nishati na madini kuvunjwa!
 
Sitaki kusikia Majina. Nataka kusikia hatua za kinidhamu ambazo Bunge Binafsi linawachukulia na taarifa zao kufikishwa kwenye vyombo vya usalama husika.
 
1.Ole sendeka
2. Anna kilango
3.Zitto kabwe
4............
5.............
6..................

ENDELEA!!
 
Na huyu spika naye ajiuzuru kwa kashfa hizi zote.lol!
 
Hawawezi kuwataja harakaharaka kwani nao wanaolazimika kuwataja wanasubiri wapewe fedha ili wasiwataje, its a Silly political Game,
 
Back
Top Bottom